Je kwa kutumia smartphone naweza kufanya jumla ya mambo mangapi?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,908
Bila kupoteza muda
Je smartphone yangu inaweza kufanya mambo mangapi?
Nataja machache ninayoyajua

1.kalculeta
2.tochi
3.kutuma msg
Kupiga cm
4.kurekodi sauti
5.kurekodi picha/camera/video
6.radio
7.TV

Kiukweli zaidi ya hapa sina matumizi mengine ya simu yangu

Je tunazitumia simu zetu kwa % ngapi?

Mdau tiririka kama wewe mwenzetu unatumia simu yako zaidi ya hapa

Mods.Uzi huu mnaweza kuuacha jukwaa hili kuna wasomaji wengi zaidi kuliko kule
 
My smartphone is my 'education institution' Nimejaza a lot of education materials like...
Books,
Educational apps,
Videos,
Whatsapp groups for education purpose,
Online and offline webpages
Ni bora nikose kula lakini sio mb
 
Ukiacha na list ya matumizi iliotajwa hapo juu, Natumia Simu yangu (Smartphone) kwa/kama;

+

1. Diary
2. Alarm/ Calendar
3. GPS locator/google maps (location)
4. Kama scanner...kupitia Camera
5. Online Streaming (Youtube, Audiomack, Netflix)
6. Networking (via Social network : Linkedin, Facebook & Instagram)
7. MP3 Player
 
My smartphone is my 'education institution' Nimejaza a lot of education materials like...
Books,
Educational apps,
Videos,
Whatsapp groups for education purpose,
Online and offline webpages
Ni bora nikose kula lakini sio mb
Hebu nitajie some of educational apps
 
Hebu nitajie some of educational apps
Inategemea unapendelea kusoma / kujiosomea nini mfano mimi binafsi napenda kujiongezea ujuzi kwenye mambo ya technology i am learning graphics designing and programming and there are a lot of apps in apps store to accomplish my mission ila mimi zaidi natumia Khan academy na Solo learn.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
For sure my phone ni asset kubwa sana. Naweza kukosa laki 2 za faster kwa kuzima simu dakika 5 tu.
Natumia kuwasiliana na client wangu .
Bora niibiwe kila kitu siyo simu au computer
 
Ni kama kichwa wengine wanatumia kufuga nywele tu wakati kinaweza kukusaidia kufanya chochote utakacho.
 
Bila kupoteza muda
Je smartphone yangu inaweza kufanya mambo mangapi?
Nataja machache ninayoyajua

1.kalculeta
2.tochi
3.kutuma msg
Kupiga cm
4.kurekodi sauti
5.kurekodi picha/camera/video
6.radio
7.TV

Kiukweli zaidi ya hapa sina matumizi mengine ya simu yangu

Je tunazitumia simu zetu kwa % ngapi?

Mdau tiririka kama wewe mwenzetu unatumia simu yako zaidi ya hapa

Mods.Uzi huu mnaweza kuuacha jukwaa hili kuna wasomaji wengi zaidi kuliko kule
1. Kuitumia simu kama modem
2.kuitumia simu kama speaker ya laptop
3.kuitumia simu kama ramani
4.kuitumia simu kama kitabu
5.kuitumia simu kama TV
6.kuitumia simu kama remote ya TV
7.kuitumia simu kama deki ya cd
8.kuitumia simu kama tochi (baadhi ya smart)
9.kuitumia simu kama kielekezi cha sehemu
10.kuitumia simu kama rafiki (unapiga nayo stori)

Haya ni baadhi tu
 
Back
Top Bottom