Naomba kuuliza; Hivi huyu DC Salum Hapi....!?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
5,421
2,000
Habari wadau
Kichwa cha habari chahusika.Huyu DC Salum Hapi ndie yule alikuwa anashawishi wasomi wa udsm na kuongoza maandamano na migomo ya hapa na pale chuo kikuu mlimani 2012 au nimemfananisha? Kama ndie basi ana bahati ya ngekewa ya vijana waliopitia revo.square.
 
ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
5,421
2,000
Mkuu, mdogo wangu Salum Ally Hapi alijiunga na UDSM mwaka 2007 na kuhitimu mwaka 2011 Shahada ya Kwanza ya Sheria. Mzome Zaidi hapa:Wasifu wa Ally Salum Hapi
Huenda atakuwa ndiye maana mm nilijiunga mlimani 2010 na kipindi hicho hadi 2012 kulikuwa na harakati nyingi sana za kisiasa chuoni yule bwana slikuwa anapenda sana kushika notebook na alikuwa anavaa smart mjenga hoja mzuri na mwenye kujiamini na alikuwa moja ya uvccm wachache waliokuwa na ushawishi kwa umma wa mlimani given taswira ya kipindi hicho unapojulikana ww ni mwanachama wa ccm
 
Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
9,778
2,000
Huenda atakuwa ndiye maana mm nilijiunga mlimani 2010 na kipindi hicho hadi 2012 kulikuwa na harakati nyingi sana za kisiasa chuoni yule bwana slikuwa anapenda sana kushika notebook na alikuwa anavaa smart mjenga hoja mzuri na mwenye kujiamini na alikuwa moja ya uvccm wachache waliokuwa na ushawishi kwa umma wa mlimani given taswira ya kipindi hicho unapojulikana ww ni mwanachama wa ccm
Ndiye Mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom