CONFESSION: Mimi ni mvivu wa kuoga, huu mwezi wa 2 ila sinuki!

Papaa Mutombo

Senior Member
Jul 16, 2018
166
232
Wakuu,

Naomba kufahamishwa madhara ya kutokuoga. Maana sasa naingia mwezi wa 2, huwa nanawa uso tuu. Mswaki wenyewe napiga nikiona meno yamebadilika rangi. Wakati mwingine nikilala nasema kesho kwakweli lazima nioge, nikiamka nikapigwa ka upeopo nahisi baridi, na kujisemea siwezi kujitesa na maji ya baridi wakati natakiwa niwahi ofisini.

Kuvaa navaa smart balaa, ni mwendo wa cardet au jinsi na koti...saluni naenda, na mambo mengine ni kama kawa. Sioni chochote kwenye ngozi, yaani niko frsh tu ila huwa nikijipikicha ngozi/kujisugua natoka ukurutu kwa mbali...huwa nafanya nikiwa peke yangu, then hapo ninajiapiza kuwa nikirudi home lazima nioge..

Lakini nikifika siogiiii. Niffanyeje jamani

NB: chupi na nguo huwa ni safi mda wote..pia sinuki mdomo, natumia mints kwa wingi
 
Last edited:
Uliza wenzako wanapataje harufu yako? mana huku mtaani tuko na watu wananuka mdomo kama choo cha soko ila hawajijui wananukaje
 
Wakuu,

Naomba kufahamishwa madhara ya kutokuoga. Maana sasa naingia mwezi wa 2, huwa nanawa uso tuu. Mswaki wenyewe napiga nikiona meno yamebadilika rangi. Wakati mwingine nikilala nasema kesho kwakweli lazima nioge, nikiamka nikapigwa ka upeopo nahisi baridi, na kujisemea siwezi kujitesa na maji ya baridi wakati natakiwa niwahi ofisini.

Kuvaa navaa smart balaa, ni mwendo wa cardet au jinsi na koti...saluni naenda, na mambo mengine ni kama kawa. Sioni chochote kwenye ngozi, yaani niko frsh tu ila huwa nikijipikicha ngozi/kujisugua natoka ukurutu kwa mbali...huwa nafanya nikiwa peke yangu, then hapo ninajiapiza kuwa nikirudi home lazima nioge..

Lakini nikifika siogiiii. Niffanyeje jamani
Kwani unaishi wapi Mkuu?
Kama ni kanda ya ziwa utakuwa na chawa wa kujaza bakuli kwenye chupi eise!!
 
Unakutana na mtu akikaa kushoto wewe katkat halaf chemba ya choo kulia unageuzia Mdomo kulia kwenye chemba ya choo, yan inz anakutoroka mana anaogopa kupata kipindu pindu
 
Wakuu,

Naomba kufahamishwa madhara ya kutokuoga. Maana sasa naingia mwezi wa 2, huwa nanawa uso tuu. Mswaki wenyewe napiga nikiona meno yamebadilika rangi. Wakati mwingine nikilala nasema kesho kwakweli lazima nioge, nikiamka nikapigwa ka upeopo nahisi baridi, na kujisemea siwezi kujitesa na maji ya baridi wakati natakiwa niwahi ofisini.

Kuvaa navaa smart balaa, ni mwendo wa cardet au jinsi na koti...saluni naenda, na mambo mengine ni kama kawa. Sioni chochote kwenye ngozi, yaani niko frsh tu ila huwa nikijipikicha ngozi/kujisugua natoka ukurutu kwa mbali...huwa nafanya nikiwa peke yangu, then hapo ninajiapiza kuwa nikirudi home lazima nioge..

Lakini nikifika siogiiii. Niffanyeje jamani
Teh teh utakuwa na JINI MCHAFU.
 
Back
Top Bottom