Kuna namna mbili za kuishi

Kuna namna mbili za kuishi

bigest

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
340
Reaction score
166
Ishi ukiamini kuwa kila kinachotokea ni muujiza au kinachotokea siyo muujiza.

Kila kitu kina kipaji chake. Lakini kama utampima samaki uwezo wake. Kwa kukwea mti, atatumi muda wote wa maisha yake akidhani kuwa ni mpumbavu.

Tujifunze kutokana na jana, ishi kwa leo, tumaini kwa kesho.
 
Last edited by a moderator:
(Ishi ukiamini kuwa kila kinachotokea ni muujiza au kinachotokea siyo muujiza)

Hapo hapana,kwangu mm sio muujiza.
Bali ratiba ya Mungu.
 
Back
Top Bottom