Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Nimesikitika kusikia eti wafanya biashara wanaiomba serikali iruhusu uingizwaji wa nyama ya kuku toka nje. Sikubaliani na wazo hilo la kuendeleza uvivu. Watanzania tumekuwa wavivu sana.
Incubator zipo nyingi na wenye nazo hawapati wateja kwa ajili ya kututulesha vifaranga.
Vyakula vya kuku vimejazana, pumba - mashudu, dagaa, unga wa mifupa, hydroponics fodder n.k
Sehemu ya kufugia ipo tena kubwa sana ..
Iweje tuendelee kuagiza nyama kutoka nje ilihali uwezo wa kufuga tunao?
Nasisitiza .. kama serikali imedhamilia kuinua uchumi wetu isikubali kuendelea kuingiza vitu vinavyoweza kuzalishwa hapa.
HAPA KAZI TU! TUMECHOKA NA WATANZANIA WAVIVU.