Hata ningekuwa mm...

Hata ningekuwa mm...

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,198
Naanzaje kujali ukumbi au shamba ilhali kila mwezi nadaka milioni 50?!

Kisiasa milioni 50 ni zaidi ya ukumbi na shamba.Bora enyi wanasiasa wenzangu mnifukuze kwenye ukumbi na mvunje shamba langu lkn 50 milioni kila mwezi staziacha eti kwa kelele zenu!

Naendelea na mambo yangu na uenyekiti wangu.Ninyi endeleeni na porojo zenu.

HAPA 50 TU!
 
Mbona umeongea kama mtoto si ridhiki vile, au mimi ndiye sijakuelewa? So wew ni me au ke? Kama ni ke poa ila kama ni me hakika utakuja juta sana
 
Back
Top Bottom