Ballack-13
Member
- Jul 8, 2018
- 63
- 83
Ninafikiri karama kubwa kuliko zote ambazo Mungu aliwahi kumpa mwanadamu siyo karama ya macho bali ni karama ya maono. Kuona ni kazi ya macho bali maono ni kazi ya moyo” (“I think the greatest gift God ever gave man is not the gift of sight but the gift of vision. Sight is a function of the eyes, but vision is a function of the heart.”Dr.Myles Monre
Wewe una maono gani ktk maisha yako unaishi ili kutimiza siku au unatimiza siku ili uishi
Kwann maono ni kitu cha muhimu sna ktk maisha yetu nimejaribu kutafakari sna umuhimu wa kuwa na maono na kuyaishi katika maisha yako
Kuna kpnd htuna raha ya maisha yetu tunafnya mambo ambyo hatuyapendi maisha yetu haybdiriki hatuishi kuishi kwa malalamiko masononeko pmja na mahangaiko yasyo isha
Always discover ur vision and follow it
Ukiishi ktk maono yako halisi na kufuata malengo uliyojiwekea ktk maisha yako utajituma kwa bidii ktk kila eneo ktk maisha yako kutoyaangusha maono yako ambyo ndio chanzo kikubwa cha kutimia kwa furaha yako
Mwanasaikolojia mmoja alwahi kusema maana halisi ya malengo ktk maisha ni kitu ambacho ukimuelza mtoto wa miaka 6 aweze kukielewa na hyo mtoto pia aweze kumueleza mtoto mwenzie wa umri huo huo na ukjija kumuuliza mtoto wa pili akueleze vile vile kama mtoto yule wa kwanza uliyeanza wewe kumwambia
Tafakari maono ni nini yana umuhimu gn ktk maisha kuna siri kubwa sna imefichwa ndani ya maono yako ukiiguundua ndo mwanzo wa maisha yako kubadilila
Maono maono maono maono
Huwezi kutafuta mafanikio mikono ikiwa mfukoni