Kila kukicha shillingi ya Tanzania inaporomoka dhidi ya dollar ya Kmarekani na hii inapelekea bidhaa nyingi zinaoagizwa toka nje kupanda bei. Leo hii kwa kiwango cha ubadilishaji wa BOT ni $1=2284.95. Kwa hali hii lita moja ya petroli itakuja kuuzwa shs.4,000. Serikali kweli chukueni hatua za haraka sana kuinusuru hali hii.