Nyumba kuungua moto kwa hitilafu ya umeme kuna viashiria vingi sana chukua hatua

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
HABARI WADAU KITAMBO SANA SIJAPOST NAISHIA KUSOMA TU POINT LEO NITAJIKITA KATIKA FANI YANGU YA ZAMANI BE4 SIJABADILISHA
UMEME NI MUHIMU SANA KATIKA NYUMBA.,,,ILA UKIFANYA UZEMBE UTAKUANGAMIZA DAKIKA1 TU,NYUMBA IKIWA NA ITILAFU YA UMEME
HAKUNA HAJA YA KUWA MWELEWA SANA WA UMEME
1.TAA ZINAUNGUA MARA KWAMARA
2.TAA UKIZIMA USIKU INA MULIKA KAMA NYOTA
3.UKISHIKA FRIJI,PASI YA UMEME MAENEO YENYE CHUMA UNATETEMESHWA.
4.TAA KUTOZIMA
5.HARUFU YA WAYA KUUNGUA
6.BREAKER CIRCUIT INAKATA MARA KWA MARA
7.TAA KUPASUKA
HIZI NI CHACHE TU KATIKA JAMII ZETU NYUMBA NYINGI KUNA SHIDA KAMA HIZI ILA HAKUNA ANAYE JALI KWA NN NYUMBA ISIUNGUE?
KATIKA UZOEFU WANGU WA UFUNDI ITILAFU NYINGI ZA UMEME UANZIA KWENYE TAA,MARA NYINGI NILIPOKUWA NAITWA MAENEO KUFANYA KAZI
TATIZO KUBWA UWA NI TAA
YOTE KWA YOTE PITIA MIFUMO YAKO YA UMEME KILA BAADA YA MWAKA.KAMA UKO VIZURI HATA MIEZI6 SIO MBAYA ITA FUNDI AKAGUE
PIA HUSITUMIA KITU KIPYA BILA KUMJULISHA FUNDI HASA VINAVYOKULA UMEME MKUBWA KAMA JIKO N.K
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Kuna kipindi friji lukilishika unatetemeshwa, nikaambiwa ni earth road, nikatafuta Fundi akarekebisha hiyo ikaisha ila sasa taa kuungua ungua kwenye ukanda flani hiyo bado ipo
 
vyote hivyo vinapatikana kwenye kibanda changu duh ngoja nimtafute jossekishoka
 
Ongeza, >Extension cable zinazalisha hitilafu kwakuwa zinatumika vibaya.
> Majengo mengi yana Circuit Breaker ambazo hazitrip
>Main Switch, feki ambazo pia Mcb zake hazitrip hata zikizidiwa. Kwa kifupi umeme unatumika vibaya na walio wengi bila kujua.
 
Back
Top Bottom