Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Habari... ni muda mrefu sasa sioni matangazo ya hawa jamaa... ikumbukwe kuwa hata Jf walikuwa wanatumia sana matangazo ya Pinpoint. Website yao pia haipo hewani na ile nafasi ya tangazo lao hapa Jf imebaki wazi. Maxence Melo tatizo ni nini kwani?