Anayeifahamu ETHIOPIA apitie hapa

Anayeifahamu ETHIOPIA apitie hapa

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari wanajamii forun.Nilikuwa naomba kujuzwa kiundani kuhusu haya mambo
1.Lugha rasmi ya ethiopia ni ipi
2.Maandishi yao yanatofauti gani na ya kwetu
3.Ethiopian Orthodox wanaamini nini hasa.Ni huyu MUNGU wetu au wao wanao wa kwao
4.Majina yao yanaendana na wairaq wanaopatikana mbulu au nakosea
 
Wakati nipo mdogo kuna bro wangu alinipiga kamba eti mademu wa Ethiopia wananukia kama watoto wachanga
 
Lugha yao ni ki-amhara
Maandishi yao yanafanana na kiyahudi na huanza kuandika kulia kuelekea kushoto

Ethiopia kuna jamii kubwa 2 wa Amhara na wa oromo ,kuna ki oromo pia lkn Amhara ndio huzungumzwa sana Addis Ababa

Kuhusu majina ya wa iraqw ya wa mbulu siyajui hivyo siwezi kucomment hapo




Kuhusu imani yao ya Orthodox wao wanaamini agano la kale tu ,hizi agano jipya hawaziamini hivyo wapo karibu na uyahudi lkn hawafiki kwenye uyahudi sabb wanamuamini yesu lkn sio kwenye perspective kama rc na walokole wanavyo mview yesu
 
Habari wanajamii forun.Nilikuwa naomba kujuzwa kiundani kuhusu haya mambo
1.Lugha rasmi ya ethiopia ni ipi
2.Maandishi yao yanatofauti gani na ya kwetu
3.Ethiopian Orthodox wanaamini nini hasa.Ni huyu MUNGU wetu au wao wanao wa kwao
4.Majina yao yanaendana na wairaq wanaopatikana mbulu au nakosea
Wamebase zaidi kwa MUNGU BABA sio Mwana Kama Sisi, Hawajui Agano Jipya wanajua la kale tu
 
Wao wanajiona kama wako more intelligent and superior than Black African (Wabantu)! Hapo tu mimi ndio huwa hatuelewani nao! [emoji1]
 
Lugha yao ni ki-amhara
Maandishi yao yanafanana na kiyahudi na huanza kuandika kulia kuelekea kushoto

Ethiopia kuna jamii kubwa 2 wa Amhara na wa oromo ,kuna ki oromo pia lkn Amhara ndio huzungumzwa sana Addis Ababa

Kuhusu majina ya wa iraqw ya wa mbulu siyajui hivyo siwezi kucomment hapo




Kuhusu imani yao ya Orthodox wao wanaamini agano la kale tu ,hizi agano jipya hawaziamini hivyo wapo karibu na uyahudi lkn hawafiki kwenye uyahudi sabb wanamuamini yesu lkn sio kwenye perspective kama rc na walokole wanavyo mview yesu
Da asante mkuu historia nzuri sana ila sura zao zipo tofauti na sisi wabongo,vipi ni mchanganyiko na mataifa gani ya ulaya
 
Wao wanajiona kama wako more intelligent and superior than Black African (Wabantu)! Hapo tu mimi ndio huwa hatuelewani nao! [emoji1]
Wana lugha yao, wana herufi zao, wamestaarabika tangu karne ya kwanza au kabla. Ni bora kuliko wabantu
 
Kwanini wanakimbia sana kwao yaani wanakuwa wahamiaji haramu mataifa mengine ?ili hali tunaambiwa Ethiopia ni matajiri sana?
 
Lugha yao ya Amhariki naifahamu.
Nimekaa Ethiopia miaka mitatu.
Nikipata muda nitakujuza mengi kuhusu hii nchi
Ina historia nzuri sana na ya Zamani.

Inasemakena Mfalme Suleimani wa kwenye Bible alioa Ethiopia na Mabaki ya zile mbao za Moses za Amri kumi inasemekana yapo ethiopia.

Kuna kanisa linaitwa lalibela limechonga ndani ya jiwe. Yani kanisa nzima ni jiwe.
Mwamba mkubwa ulichongwa nje ndani ukawa kanisa.

Wenyewe wanadai Malaika ndio walifanya hio kazi watu wakiwa wamelala asubuhi wanaamka kazi yao imesogea mbele.

Historia yao kubwa ni ya kidini.


Wapo wengi sana wapo zaidi ya milioni mia, ndio maana unasikia baadhi yao wanatoroka nchi yao. Ni wengi sana na Serikali yao ni ya kishenzi. Ile iliyotoka. Ya sasa kidogo inafanya changes.
Wana mtandao mmoja wa simu Magufuli alishawahi kusifia.

Hawana 4g bado labda sasa hivi.
Serikali ilikuwa ikikasirika inazima data kudadeki.



Kuna mengine mengi. Nikipata muda tutashare.
Jumapili njema.
 
Kwanini wanakimbia sana kwao yaani wanakuwa wahamiaji haramu mataifa mengine ?ili hali tunaambiwa Ethiopia ni matajiri sana?
Wana ule utajiri usio na maana kama huu tunaouanzisha hapa kwetu! Utajiri wa vitu huku Watu wakiwa hoi taabani!! Sasa waethiopia wamegundua kuwa hawawezi kula treni ya SGR!! Hawawezi kuvaa Dreamliners walizo nazo! Hawawezi kunywa Fly over! Hence wanaona ni heri wa risk maisha yao ku cross border za hatari wakiwa wamefungiwa ndani ya ma kontena! Sisi nasi tunaelekea huko!
 
Lugha ysi ya Amhariki naifahamu.
Nimekas Ethiopia miaka mitatu.
Nikipata muda nitakujuza mengi kuhusu huu mji.
Una historia nzuri sana na ya Zamani.

Inasemakena Mfalme Suleimani wa kwenye Bible alioa Ethiopia na Mabaki ya zile mbao za Moses za Amri kumi inasemekana yapo ethiopia.

Kuna kanisa linaitwa lalibela limechonga ndani ya jiwe. Yani kanisa nzima ni jiwe.
Mwamba mkubwa ulichongwa nje ndani ukawa kanisa.

Wenyewe wanadai Malaika ndio walifanya hio kazi watu wakiwa wamelala asubuhi wanaamka kazi yao imesogea mbele.

Historia yao kubwa ni ya kidini.


Wapo wengi sana wapo zaidi ya milioni mia, ndio maana unasikia baadhi yao wanatoroka nchi yao. Ni wengi sana na Serikali yao ni ya kishenzi. Ile iliyotoka. Ya sasa kidogo inafanya changes.
Wana mtandao mmoja wa simu Magufuli alishawahi kusifia.

Hawana 4g bado labda sasa hivi.
Serikali ilikuwa ikikasirika inazima data kudadeki.



Kuna mengine mengi. Nikipata muda tutashare.
Jumapili njema.
Hapo kwenye kuzima data hapo!! Itabidi tukajifunze mawili matatu kutokea huko! Nikimwambia tu jiwe kuwa nataka kwenda Ethiopia kusomea uzimaji data najua atanipa ufadhili 100% na bakshishi nyingine juu.
 
Wana ule utajiri usio na maana kama huu tunaouanzisha hapa kwetu! Utajiri wa vitu huku Watu wakiwa hoi taabani!! Sasa waethiopia wamegundua kuwa hawawezi kula treni ya SGR!! Hawawezi kuvaa Dreamliners walizo nazo! Hawawezi kunywa Fly over! Hence wanaona ni heri wa risk maisha yao ku cross border za hatari wakiwa wamefungiwa ndani ya ma kontena! Sisi nasi tunaelekea huko!
Inawezekana umeandika kiutani labda
Ila kwa sisi tuliokaa Ethiopia huu ndio ukweli wenyewe.

Wakati Selasia anaanzisha ET Airways watu walikufa njaa.
 
Back
Top Bottom