Kusafisha swimming pool

Kusafisha swimming pool

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
9,006
Reaction score
33,543
Wakuu kwema? Jamani natafuta mtu anayesafisha swimming pools kwa dar. Kuna mahali anatakiwa urgently kidogo. Kama unamjua ni contact nae tafadhali.

Mungu awabariki sana
 
0656413262 yupo kinondoni jijini Daresalaam Ni mtaalam wa kazi hizo
 
Magufuli kaangusha uchumi hali ya maisha ya wengi ni duni msos shida hizi anasa za swimming pool mnazitoa wapi wakati huu mgumu taifa linapitia kwa magufuli makdudi kukwapua matrioni na kujineemesha yeye na genge lake wasiozidi 500.

Hizi anasa za swimming pool mnatoa wapi kipindi hiki kigumu??? Maji yakunywa tuu ni anasa
 
Back
Top Bottom