Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,021
- 9,575
wadau nimejaribu kwa MPesa wanasema huduma imesitishwa na vituoni kwao pia hawatoi huduma! je ni njia gani nyingine ya kujaza maana sie wa mbezi bila kutumia kadi ina cost tsh 250 ya ziada kwa kila safari ya mbezi mpaka town!