Mwaka 1984 nilikuwa miongoni mwa watanzania wazawa wachache waliobahatika kununua mashati new fashion ya juliana.....Mashati yaliyosemekana kuleta ugonjwa ama kuja na ugonjwa usiotibika wa...
Kayaandika haya kwenye Fesibuku...
"Kuna ule utani wa zamani wa Nyerere na Jomo Kenyatta.
Mwalimu alimwambia Jomo '...unaongoza watu waliolala'
Jomo akamjibu...'wewe unaongoza maiti"
#Hata kama ni...
Baa maarufu ya aina yake ambayo inazo sifa Lukuki za matukio yanafanywa na wateja wake IMEFUNGWA, matukio hayo kama ya Umalaya,Ushoga na mengine lukuki yakiwemo ya watu kutoa Bastola na kupiga...
Hamjambo wadau na wataalamu wa TV production and filming,
Kwanza nitoe heshima kwa MASOUD KIPANYA kwa ubunifu wake wa kuanzisha reality TV show iitwayo MAISHA PLUS, shindano hili limemaliza miaka...
Salaam wanajf,
Jamani natambua umuhimu na jukumu la kutoa habari na burudani hasa kituo bora kabisa cha Clouds, ila tu nadhani jamaa wana matangazo mengi sana yani yakianza ni dk 10 bampa to...
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank...
Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudeley, Jensen Natal na mwanasheria wa kampuni hiyo, Edward Mroso kwa tuhuma za kuikosesha serikali kodi...
Nimejaribu kufikiri kwa muda na nikaona hii sio sahihi kabisa. Mtu unalipia king'amuzi ili uangalie angalau mshikemshike then unaletewa tangazo eti uangalie kupitia app. Sasa si gharama juu ya...
Mheshimiwa waziri anayaehusika, SSRA saidia kutatua changamoto za wafanyakazi ambao ni wanachama wa NSSF. Kuanzia mwaka 2016 nimekuwa nikiangaika kutafuta mafao yangu utoka NSSF bila mafanikio...
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuna ajali ya barabarani imetokea mkoani mbeya, ambapo taarifa za awali zinadai watu watatu wamepoteza maisha eneo la Meta, Itambo wilayani Mbarali.
Stay...
Wanabodi..
Nimeziona hizi picha kwenye mtandao wa you tube. Zinaonekana kama ni kitu real.
Hebu pitieni hizo picha alafu tupeane mawazo.
Inawezekana ni mwisho Wa Dunia nini wakuu????
Ukiangalia...
Uwezo wake wa kubadili upepo ndio umenifanya kutafuta kujua Dr. Josephat Gwajima ni nani na ni mtu wa aina gani. Labda ngoja niwakumbushe kidogo.
1. Kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015 ailimchukua...
Wadau habarini za asubuhi, hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya kupambana na gurudumu la maisha nchini Tanzania.
Niende kwenye hoja iliyonileta, ni hivi kuna huu ustaarabu hasa kwa...
Nimejaza fomu yangu ili nipatiwe National ID tangu November 2017! Hadi leo hii, sijapata kitambulisho, tatizo litakuwa wapi? Details zangu mnazo (phone #/emails/physical adress), mnashindwa hata...
Aliyekuwa Diwani kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kigala Wilayani Makete Mkoani NJOMBE Kelvin Nguvila ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na nyadhifa zake zote ndani ya...
Nimechoshwa na startimes kiukweli
Haya mwenye kisimbusi cha continental cha antenna vipi:-
Cha antenna kina channel ngapi???
Cha dishi jee??
Wanazo channel za aina gani???
Vipi ubora wa picha...
Kuna kampuni Ngare investment – Wamiliki wa hoteli ya NATRON PALACE iliyopewa uwakala wa kukusanya ushuru wa maegesho ya magari Arusha inawanyanyasa wafanyakazi wake.
Tangia wapewe tenda hiyo...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametaka washiriki wa shindano la urembo la Miss Tanzania kupewa nafasi za ajira katika Shirika la Ndege la Taifa la Air...