Mbeya: Ajali imeua watatu maeneo ya Itambo Mbalali

Mbeya: Ajali imeua watatu maeneo ya Itambo Mbalali

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
693
Reaction score
889
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuna ajali ya barabarani imetokea mkoani mbeya, ambapo taarifa za awali zinadai watu watatu wamepoteza maisha eneo la Meta, Itambo wilayani Mbarali.

Stay tuned
e0503d631687d01ed55968f496127fce.jpg
 
Hawa waendesha power tiller huwa wanajiachia sana road aisee.

R.I.P waliofariki
 
Waanze na mkuu wa mkoa. Nahisi yeye anachangia. Kama amesema kijiji kizima kiwekwe ndani masaa 48 kwanini asikamate madereva wote Mbeya
Nilikua likizo mkuu nyijulishe ilikuaje kijieji kuwekwa ndani saa 48?.
 
Back
Top Bottom