MAKETE, NJOMBE: Diwani wa Kata ya Kigala, Kelvin Nguvila(CHADEMA) ahamia CCM

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG_20180816_134454.jpg

Aliyekuwa Diwani kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kigala Wilayani Makete Mkoani NJOMBE Kelvin Nguvila ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na nyadhifa zake zote ndani ya Chadema na kujiunga rasmi CCM jana jioni.

> Akitangaza uamuzi huo jana jioni mbele ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya hiyo, Mh.Ona Nkwama,alisema Bw.Nguvila ameamua kuondoka Chadema na kujiunga CCM kwa lengo la kumuunga mkono Rais John Magufuli katika jitihada za kuwaletea Maendeleo Wananchi wake wa Kata ya Kigala
 
Hahaha naona sababu ni ileile kuunga juhudi sijui juhudi gani hizo
 
Kwan huwa wanapewa sh ngap na Ccm?

Aitheee ngoja aende yawezekana akachukua mikoba ya mwijage....
 
Back
Top Bottom