NIDA Arusha kuna shida gani?

NIDA Arusha kuna shida gani?

Ntu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,038
Reaction score
697
Nimejaza fomu yangu ili nipatiwe National ID tangu November 2017! Hadi leo hii, sijapata kitambulisho, tatizo litakuwa wapi? Details zangu mnazo (phone #/emails/physical adress), mnashindwa hata kum-contact mtu mumwambie tatizo liko wapi? Shame on you.

cc @kangilugola
 
Mkuu zoezi lilisitishwa kwa muda kutokana na ubadhirifu ila limeanza upya siku ya jana
 
Mimi kitambulisho sijapanga kuchukua labda hapo Baadae sana.
 
Ukienda ofcn kwao wanasemaje?? Ukute baada ya kujaza hujafuatilia tena..
Mkuu, wakati wa kujiandikisha hakukuwa na maelezo kwamba ukitaka kitambulisho chako itabidi uende ofisini kwao!
 
Mkuu utanisamehe sihitaji kujibishana na wewe, nahitaji muongozo toka NIDA. Kama unahusika leta maelekezo
Maelekezo fuatilia ofic za NIDA ukute maombi yako yamekwama mahali kutokana na shida mbalimbali na mpaka kujua hilo inabid waangalie kwenye system sasa usipoenda ndo hvyo hawawez jua kama yamekwama au lah.
Kuna scenarios mbalimbali zinaweza kusababisha maombi yako kukwama, kwa uchache
1.kutofautiana kwa majina ya muombaj kwenye fomu na viambatanisho bt mara nying hilo wamampigia mhusika simu
2.kukosekana saini ya muombaji kweny fomu
3.kukosekana kwa saini ya mtedaj wa mtaa au kata na muhuri wake.. Na nyinginezo usababisha maombi kukwama. Njia rahis ni kufanya followup ili waweze kuangalia kwenye mfumo.natumah nimekupa mwanga hapo.
 
Nimekupata mkuu, ninauhakika sijafanya makosa yoyote kati ya hayo hapo juu. Will go to their office soon.
 
Nimekupata mkuu, ninauhakika sijafanya makosa yoyote kati ya hayo hapo juu. Will go to their office soon.
Hapa umeamua kwa busara ndugu. Watembelee ofisini na ni vyema uwaambie jinsi unavyokwazwa na uzembe wao. Usisahau kutupa mrejesho.
 
Duh pole, kuna mchizi kajaza and in one month kapata ID yake
 
Next time ukienda waonyeshe na kadi yako ya ccm!utapata kitambulisho ndani ya masaa 24
 
Hata Tukiomba Namba za Vitambulisho ili tusajili Business Name Brela hatupewi. NiDa imekuwa hovyo!
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Hapa umeamua kwa busara ndugu. Watembelee ofisini na ni vyema uwaambie jinsi unavyokwazwa na uzembe wao. Usisahau kutupa mrejesho.
Hakika nitaleta mrejesho mkuu wangu
 
Duh pole, kuna mchizi kajaza and in one month kapata ID yake
Wapi huko mkuu? Unajua kuna wakati mtu unaamua kujitoa ufahamu nakuwapa "MLUNGULA" ili shughuli zako sisikwame.
 
Back
Top Bottom