moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Wanabodi..
Nimeziona hizi picha kwenye mtandao wa you tube. Zinaonekana kama ni kitu real.
Hebu pitieni hizo picha alafu tupeane mawazo.
Inawezekana ni mwisho Wa Dunia nini wakuu????
Ukiangalia vizuri Kuna picha ya bikira Maria akimbusu mtoto yesu na picha nyinginezo zimejichora kwenye mawingu.