busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,340
Mtabiri maarufu Tanzania Maalim Hassan Y. Hussein na ambaye pia ni mtoto wa alokuwa mtabiri wa Tanzania na Afrika Mashariki the late Sheikh Yahya Hussein ametabiri mambo mengi na matukio mengi yanayotarajiwa katika mwaka huu 2017 ....
Miingoni mwa hayo ni .....
"Viongozi wakubwa wa vyama vya upinzani duniani ikiwamo Tanzania watarejea kwenye vyama walivyovihama" ...... " .... sambamba na kifo cha chama kimoja maarufu cha siasa hapa nchini" Alisema Maalim Hassan Y. Hussein ....
Na: Frank Monyo - Nipashe