chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
wadau habari,ningependa kujua historia ya huyu bibi fisi ambaye inasadikika alikuwa mchawi kiboko katika jiji la mwanza.nilishuhudia nyumba yake ikiwa katikati ya barabara maeneo ya bugando miaka ya 99 au 2000 hivi lakini kwa wakati huo niliambiwa alikuwa keshafariki tayari.
hivi ni kweli alikuwa mchawi?
hivi ni kweli serikali ilimuogopa kiasi kile hata kushindwa kubomoa nyumba yake na kupitisha barabara?
hivi ni kweli alikuwa mchawi?
hivi ni kweli serikali ilimuogopa kiasi kile hata kushindwa kubomoa nyumba yake na kupitisha barabara?