Hivi kwanini wanajeshi wa Marekani wanastaafu wakiwa na umri mdogo sana kuliko wanajeshi wa Tanzania?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
8,986
2,000
wakuu kwema?
hivi ni kwa nini wanajeshi wa marekani wanastaafu kulitumika jeshi la nchi yao wakiwa na umri mdogo kuliko hapa kwetu Tanzania?
mfano unakuta lijana mdogo tu lets say miaka 27 kaenda iraq au afghanistan mara mbili akirudi anastaafu afu anaenda kupiga mishe zingine za kiaraia,nilikua nacheck ile documentary ya wale jamaa waliomuua osama bin laden,inasemekana baada ya ile operation wale jamaa wote walistaafu jeshi na wkati bado umri mdogo kabisa na saivi wengi wao wanafundisha kwenye vyuo vya kiraia.
hali iko tofauti hapa kwetu,unakuta mtu ana miaka zaidi ya 60 lkn bado yuko tu kazini hana mpango hata wa kustaafu.
hivi kwa nini kuna hiyo tofuti wakuu?
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,127
2,000
!
!
Wanaajiri Kwa Malengo Maalum. Kutakuwa Na Mission Nchi Fulani Wanaajiri Na Mission Ikiisha, Au Ukawa Umekosa Sifa Ya Kuendelea Na Mission Off You Go. Pia Kuna Fursa Nje Ya Jeshi Hasa Baada Ya Kulipwa Chako. Wengi Wao Wana Uelewa Wa Mambo Nje Ya Jeshi.
Unataka Huku Kwetu Astaafu Mdogo Kisha Aende Wapi? Aje Ajiunge Na Makampuni Ya Ulinzi? Thubutuuuuu. Kama Mwenye PhD Pale Morogoro Alipotumbuliwa Akasema Asamehewe Eti Ataenda Wapi, Sembuse Hawa? Haitoki Mtu Pale. Yaani Daladala Bure Nistaafu? Usinianike
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,180
2,000
wakuu kwema?
hivi ni kwa nini wanajeshi wa marekani wanastaafu kulitumika jeshi la nchi yao wakiwa na umri mdogo kuliko hapa kwetu Tanzania?
mfano unakuta lijana mdogo tu lets say miaka 27 kaenda iraq au afghanistan mara mbili akirudi anastaafu afu anaenda kupiga mishe zingine za kiaraia,nilikua nacheck ile documentary ya wale jamaa waliomuua osama bin laden,inasemekana baada ya ile operation wale jamaa wote walistaafu jeshi na wkati bado umri mdogo kabisa na saivi wengi wao wanafundisha kwenye vyuo vya kiraia.
hali iko tofauti hapa kwetu,unakuta mtu ana miaka zaidi ya 60 lkn bado yuko tu kazini hana mpango hata wa kustaafu.
hivi kwa nini kuna hiyo tofuti wakuu?
Sababu kwa service ya jeshini ni ya muda mfupi. Kwao wana consider baada ya sskar kwenda vitani mara kadhaa basi itabid apumzishwe sababu vita inawaletea damage hata kiakili.
However kustaafu huko ni kama temporary tu.. wengine jeshi linapowahitaji huitwa tena. Haswa members wa special forces hurudishwa jeshini kwa operesheni maalumu.

Kwetu kwa jeshi la tz habari ni tofauti kidogo. Kwetu hatupigan vita vingi mno.. yasni ile lack of action nayo inachangia
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,107

Hakuna fulsa bongo ndugu,ndio maana tunan'gan'gania kwenye ajira,
Tustaafu tukafenye nini mtaani?wakati hakueleweki?
Wenzetu wanastaafu jeshi,then wanapata ajira nono zaidi kwenye private security company/private military,kama black water,huko wanalipwa mafao maradufu,au MTU anaamua kuingia kitaa kufanya yake kwa kutumia kiinua mgongo chake,na mifumo iliyopo ni rafiki,maisha yanakuwa poa,hapa bongo shida tu,pesa zako hupewi mpaka ufikishe miaka 60
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
16,989
2,000
Sababu kwa service ya jeshini ni ya muda mfupi. Kwao wana consider baada ya sskar kwenda vitani mara kadhaa basi itabid apumzishwe sababu vita inawaletea damage hata kiakili.
However kustaafu huko ni kama temporary tu.. wengine jeshi linapowahitaji huitwa tena. Haswa members wa special forces hurudishwa jeshini kwa operesheni maalumu.

Kwetu kwa jeshi la tz habari ni tofauti kidogo. Kwetu hatupigan vita vingi mno.. yasni ile lack of action nayo inachangia
Kama ile delta force...Chuck Norris aliitwa kwa special task hasa ya wale hijackers wa ile ndege!
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
13,455
2,000
kazi zao ni zamikataba sio huku kama huna msala hadi unafikisha 60. una pewa milioni mia mbili ukirogwa ujenge au kae bar ukifika 65 lazima ufe
Hahahahaha sasa Mkuu asipojenga na huko nyuma hakujenga sasa itakuwaje?. Kuna Mwanajeshi mmoja alikuwa kambi ya kule Moshono Arusha,kwao ni Bukoba na tangu atoke kwao mwaka 1979 hakurudi tena nyuma na pale Moshono alikuwa kapanga yeye na familia yake. Ilikuwa umebaki mwaka mmoja astaafu hana nyumba wala kiwanja na alikuwa mnywaji sana wa bia,wakati tupo kwenye masanga nikawa namuuliza sasa ulistaafu utarudi Bukoba au utajenga nyumba hapa Arusha,akajibu Bukoba sirudi na nyumba sijengi,nitakula bata pension yangu ikikaribia kuisha nakunywa sumu ya panya napumzika zangu.
 
kinyama nje

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
1,728

kujenga kwa pesa hiyo ni balaaa bora uweke fixd acount awe anapata gawio lila baada ya miezi mitatu. ana weza ishi vizuri
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
16,971
2,000
Baba yangu alistaafu kabla ya umri.

Mkataba ni miaka 2 (Sikumbuki vizuri) ila unaweza kuchagua kustaafu.

Nadhani kwetu ni vile channels hazieleweki.

NB. Hajafukuzwa kwa sababu stahiki zake zote alipata na kuna hela hua analipwa mstaafu kila mwezi (Hajawahi kusema shilingi ngapi nilimsikia anasema siyo interval ya mwezi tena)
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
16,989
2,000
Hahahahaha sasa Mkuu asipojenga na huko nyuma hakujenga sasa itakuwaje?. Kuna Mwanajeshi mmoja alikuwa kambi ya kule Moshono Arusha,kwao ni Bukoba na tangu atoke kwao mwaka 1979 hakurudi tena nyuma na pale Moshono alikuwa kapanga yeye na familia yake. Ilikuwa umebaki mwaka mmoja astaafu hana nyumba wala kiwanja na alikuwa mnywaji sana wa bia,wakati tupo kwenye masanga nikawa namuuliza sasa ulistaafu utarudi Bukoba au utajenga nyumba hapa Arusha,akajibu Bukoba sirudi na nyumba sijengi,nitakula bata pension yangu ikikaribia kuisha nakunywa sumu ya panya napumzika zangu.
Bwaaaahaaaaahaaaa ....huyo mhaya nimempenda buuree!

U made my day mkuu
 
Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
3,541
2,000
wengi huwa hawastaafu kwa kupenda bali huwa inawalazimu kufanya hivyo..

wanayokutana nayo kule huwa hayasimuliki wengi huwa wanarudi wameathirika kisaikolojia..

na wale walionusurika huwa wanaona kuacha kazi ya jeshi ndio itakuwa pona yao... wengi wakishatoka kupigana vita mashariki ya mbali huwa wanazinduka kiakili na kuona wamepekekwa sehemu ya mateso na kupigana bila sababu ya msingi

na hawa war veterans wanaostaafugi mapema wengi huishia kwenye ulevi na wengine kucommit suicide

usifikiri wanapenda kustaafu wakiwa vijana laa hasha ila waliyokutana nayo mashariki ya mbali sijui kati huwa si mambo ambayo binadamu anaomba akutane nayo

sasa huku tanzania jeshi ni moja ya kazi ya bata trust me ukishatoka depo hakuna tena mateso unaweza hadi ukastaafu hujapiga mtu risasi..

sasa ww jiulize mwanajeshi wa marekani katika umri wa miaka 25 amepiga risasi watu 200 amechinja kwa kisu kwenye mapigano watu 10 amebeba maiti za wenzake 15 unafikiri huyu mtu atakuwa sawa kiakili ndomana ikifika miaka 27 anaamua apumzike zake tu
 
Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,079
2,000
wakuu kwema?
hivi ni kwa nini wanajeshi wa marekani wanastaafu kulitumika jeshi la nchi yao wakiwa na umri mdogo kuliko hapa kwetu Tanzania?
mfano unakuta lijana mdogo tu lets say miaka 27 kaenda iraq au afghanistan mara mbili akirudi anastaafu afu anaenda kupiga mishe zingine za kiaraia,nilikua nacheck ile documentary ya wale jamaa waliomuua osama bin laden,inasemekana baada ya ile operation wale jamaa wote walistaafu jeshi na wkati bado umri mdogo kabisa na saivi wengi wao wanafundisha kwenye vyuo vya kiraia.
hali iko tofauti hapa kwetu,unakuta mtu ana miaka zaidi ya 60 lkn bado yuko tu kazini hana mpango hata wa kustaafu.
hivi kwa nini kuna hiyo tofuti wakuu?
Sasa mkuu Tanzania mwanajeshi gani au mfanyakazi gani anaweza kustaafu akaenda kufanya shughuli ingine?
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,046
2,000
wabongo wakistaafu umri huo nchi haitakuwa salama. Watabeba tena bunduki na kuingia kitaa kutafuta hela. Hawatakubali wakashike jembe la mkono. Assume maandamano yawe na wanajeshi wastaafu wa miaka 30s hivi!? vita kamili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom