DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Amani iwe nanyi! Nina wageni wanaotafuta sehemu za kutalii wakiwa hapa Dar es Salaam na viunga vyake.
Wapi mnashauri waende? Hawa watu siyo spenders kihivyo, wanataka tu sehemu zinazoonyesha utamaduni, mila na historia yetu.
Natanguliza shukrani.
Wapi mnashauri waende? Hawa watu siyo spenders kihivyo, wanataka tu sehemu zinazoonyesha utamaduni, mila na historia yetu.
Natanguliza shukrani.