tujifunze utamaduni wa kusoma vitabu

tujifunze utamaduni wa kusoma vitabu

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF,

Kielimu na nchi nyingine lets say western countries tunachotofautiana;

Ni culture ya kujisomea vitabu,

Tangia umri mdogo watoto wao wanaongozwa kusoma vitabu na kwenda library.

Watoto wanaimarishwa kuwa na 'intrest' ya kujisomea vitabu,

Si kweli wazungu wote wamefika elimu ya juu/chuoni......ila wengi wamesoma vitabu na wana general knowledge kubwa,unakuta mtu form four au six anajua mambo mengi,kwa sababu anasoma vitabu

Na sisi tunaweza use the same strategies tuwe na mkakati wa kuwa na watu wengi wanaojua general knowledge na sio wachache walioenda hadi chuo kikuu na MAJORITY kuwa gizani.

Naomba mpendekeze nini kifanyike kwa sasa kubadilisha hii culture?
 
Habari ya kusoma vitabu kwa mtanzania utamnyima vitu vingi sana
Kwanza wabongo wengi wakiona kitabu kina maandishi mengi hasomi anafunua tu na kukufunika

mimi mmoja wapo,lol

ila ni kwa vile tumelelewa hivyo hivyo

tokea nursery mpaka secondary hatujawa encouraged kujisomea vitabu independently...
 
Hii inawezekana kwa mtu mmoja mmoja kwa kuwanunulia watoto vitabu au kila weekend kuwapeleka makitaba kujisomea

Hata usipo kuwa na nafasi unawapa hela waende mwenyewe huo utamaduni utamfanya mtoto kukua na kuwa mtu anae penda kujisomea vitabu

Na ukumbuke kumwambia faida za kujisomea na hasara za asipo jisomea
 
wazazi tukiwa mifano ni rahisi zaidi kuwahamasisha watoto kupenda kusoma vitabu,

haiwezekani mzazi umeweka television ktk kila sebule ya nyumba na muda mwingi unapenda kuangalia alafu uwaambie watoto wasome vitabu....utawatesa.

ikiwa tukawa na kabati la vitabu na muda mwingi tunatumia kusoma tukiwa nyumbani ni rahisi pia kwa watoto kuvutiwa na wao kusoma vitabu.

mimi naona wazazi tuna nafasi kubwa kufanya hilo liwezekane.
 
Wa tznia ni wavivu sana katika, hata kusoma gazeti au jalida nishida wanatafuta picha tu sembuse kitabu....kama gazeti halina picha haliuzi......tena hii tabia ni kwa wote wasomi na wasio wasomi kwenye ndege wote buzy na simu kwenye basi kusizia na simu kwenye sehemu za kazi umbeya na simu nyumbani Tv na simu duh mie nachukia huu utamaduni kabisa....unakutana na mtu mzima hana maalifa mapya ya kukueleza zaidi, yakueleze eti enzi za Nyerere.
 
Tatizo sio usomaji tatizo ni lugha, Vitabu vingi vizuri vimewekwa kwa Lugha ambayo wengi hatuimudu na kuishia kusoma vitu ambavyo vingi ambavyo havitusaidii.(majarida ya udaku)

Ukitaka kujua kuwa tatizo ni lugha angalia ujibuji wa maswali ya Literature huko mashuleni.
 
Mkuu kuna vitabu vzri vya kiswahili ila wasomaji hawapo....njia nzuri ya kujifunza lugha nakuimaster ni kusoma vitabu constantly....unakuta mwalimu wa chuo kikuu anasoma kiingereza kama mtoto wa primary, sio kwamba hajui sababu sio msomaji wamara kwamara wanafanya alot of talking little reading ndo ma lecturer wetu. Hawawezi kutu inspire cc tujifunze kusoma wenyewe pia ni tatizo
 
Hii inawezekana kwa mtu mmoja mmoja kwa kuwanunulia watoto vitabu au kila weekend kuwapeleka makitaba kujisomea

Hata usipo kuwa na nafasi unawapa hela waende mwenyewe huo utamaduni utamfanya mtoto kukua na kuwa mtu anae penda kujisomea vitabu

Na ukumbuke kumwambia faida za kujisomea na hasara za asipo jisomea

kabisaa mkuu,mie naona hata serikali I invest kwenye makitaba ziwe nyingi nchini,

hata kama haitawavutia sie wahenga, watoto wetu wanaweza kubadilishwa taratibu huko mashuleni kuzitumia….

tena watu binafsi au makampuni pia wahamasishwe kujenga maktaba...hizo taasis za kibinadamu nazo zisiishie kutoa tu takwimu hapa kuna upungufu huu,ule bila kuwa involved kwenye solutions....
 
Wakristu wenzangu tumeshindwa hata kuisoma Bible kutoka kitabu cha Mwanzo mpaka Ufunuo wa Yohana
 
Technology has a big impact on the whole concept of literacy. Children of nowadays prefer games over books, an iPad is more interesting of course than the boring bages of a Book.
I don't think that's atangable problem.... idont think that technology begun in Africa, and also it's only few familes, less than 5% that can afford tablet or ipand those who possess smart phone are too buzy with them to give to their children to play with them, the problem it's our culture and our leaders
 
Tatizo sio usomaji tatizo ni lugha, Vitabu vingi vizuri vimewekwa kwa Lugha ambayo wengi hatuimudu na kuishia kusoma vitu ambavyo vingi ambavyo havitusaidii.(majarida ya udaku)

Ukitaka kujua kuwa tatizo ni lugha angalia ujibuji wa maswali ya Literature huko mashuleni.

Mkuu literature ni ngumu sababu secondary form one ni kitu kigeni kwako,ila ungekua unasoma English toka mdogo,literature isingekupa tabu mkuu…..
 
vitabu tunasoma kwa kutafuta A tu, lakini hivi vingine hapana,, wauza vitabu wenyewe hata hawavisomi, unakuta chinga anakomaa ununue kitabu cha kujifunza kingereza ingali yeye hajui hata kuomba maji
 
I don't think that's atangable problem.... idont think that technology begun in Africa, and also it's only few familes, less than 5% that can afford tablet or ipand those who possess smart phone are too buzy with them to give to their children to play with them, the problem it's our culture and our leaders
I can say lack of knowledge and exposure, the majority of parents don’t understand the importance of regular reading. Poverty also contributes in this matter. How can you afford to buy a book while there is no merely a bread at home.
 
wazazi tukiwa mifano ni rahisi zaidi kuwahamasisha watoto kupenda kusoma vitabu,

haiwezekani mzazi umeweka television ktk kila sebule ya nyumba na muda mwingi unapenda kuangalia alafu uwaambie watoto wasome vitabu....utawatesa.

ikiwa tukawa na kabati la vitabu na muda mwingi tunatumia kusoma tukiwa nyumbani ni rahisi pia kwa watoto kuvutiwa na wao kusoma vitabu.

mimi naona wazazi tuna nafasi kubwa kufanya hilo liwezekane.

uko sahihi kaka yangu watoto wengi wanajifunza tabia through observational learning...ukiwa unasoma vitabu...na wenyewe watakua na shauku ya kufanya hivyo hivyo…..nimependa pia rai yako kwa wazazi...
 
Back
Top Bottom