Tuchunguze tabia za watoto mapema

Tuchunguze tabia za watoto mapema

Pilot_In_Command

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
2,507
Reaction score
3,459
Habari wakuu,

ifikie kipindi watoto wetu (wako au jirani yako) tuwachunguze tabia zao mapema na kuwanyoosha mapema ili kuepuka AIBU katika jamii... inayotuzunguka

sikuhizi humu ndani.. kuna KUNDI kubwa la MASHOGA humu... mie binafsi nachukizwa na USHETANI huo.. mtoto wa kiume unajifanya MWANAMKE.. unaomba MKONGOJO kwa mwanaume mwenzio ili iweje?

mnasababisha wanaume wote humu JF tuonekane MAPUNGA/MIKOROSHO..

we kama BOGA WALI NAZI.. fanya madudu yako kimya kimya huko huko INSTAGRAM,WHATSAPP,FB ila sio JF,,.............

hata kama policy inakuruhusu kuwa muwazi wa attitudes zako... ifikie mahali kuwe na ukomo

pia wanaume wenzangu humu... mnayumba... mmeona PUNGA humu.. mnakimbilia PM yake kuomba #,, mnampa PROMO aone humu kuna SOKO...

vyanzo vya watu kuwa MAPUNGA ni kama ifuatavyo;

1-kukaa sana na MADADA... yaan unakuta nyumba nzima.. wanawake tu..

2-kusomesha watoto BOARDING... huko wanakutana na MENDE..

3-KUJARIBU JARIBU vitu bila uangalifu.. unakuta jitu linajaribu MKONGOJO... dear friend MASHINE huwa haijaribiwi...

4-MALEZI ya kizungu... na kuangalia yale ma movie ya KISHOGA SHOGA

5-Kutojitambua wewe ni nani?? MTU hajui kuitwa MWANAUME ni utajiri...

6-vichocheo.. hivi huwa wanavisingizia tu.. mie siamini kama ni kweli.. ila kama ni kweli poleni ila yote inasababishwa na kukaa na mademu mademu ovyo .. jitu linakopi hadi KUCHEKA kwa kujishaua.. yanii napata hasira.

TUOMBE MUNGU KWA KWELI..
 
Tyrant walianza kuonesha mambo ya kishoga , kuanzia hapo nikasitisha kuangalia na nizokuwa Nazo kwenye kompyuta nikazifutilia mbali
 
sas unakuta familia inaangalia.. hizo movies.. mwisho wa siku wanaona ni sawa tu..
 
Kweli aisee na ile ya Quantico, ilibidi tu niachane nazo mazima. Kuwa na hofu ya Mungu inasaidia sana kuepusha haya matatizo. Ila Church nako ndo kushachakachuliwa hivo.
 
Back
Top Bottom