Je, Hawa jamaa wengine kwenye picha hii wako wapi?

Je, Hawa jamaa wengine kwenye picha hii wako wapi?

bunyebunye

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
530
Reaction score
677
Unaweza uishi na kiongozi wako wa baadaye bila kujua, mimi nimejiuliza hawa wengine kwenye picha hii sijawafahamu kabisa, hebu tusaidiane kuwatambua, mimi namuelewa mwenye miwani pekee ila ni siri yangu. Wewe je umemuelewa nani kwenye picha hii?
PR.jpg
 
Nimemuelewa aliyeko nyuma ya hilo jengo.
 
Unaweza uishi na kiongozi wako wa baadaye bila kujua, mimi nimejiuliza hawa wengine kwenye picha hii sijawafahamu kabisa, hebu tusaidiane kuwatambua, mimi namuelewa mwenye miwani pekee ila ni siri yangu. Wewe je umemuelewa nani kwenye picha hii?View attachment 398211
If you're walking down the right path and you're willing to keep walking, eventually you'll make progress.
 
Mwenye miwani sijui hata kama anatamani kuziona hizi picture,maana hakawii kusema anajalibiwa
 
Back
Top Bottom