NANI..........' KWANINI.........?

NANI..........' KWANINI.........?

mansolata

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
502
Reaction score
319
Salaam kwenu wakuu..........
Katika Bara letu la Afrika ushirikina imekua ni sehemu ya fursa....[emoji387] [emoji386] .. yaani sehemu kubwa ya jamii kutokana mila na desturi zinaamini sana imani hizo.

Haya sasa.......
ungepewa chance moja tu ya kumloga mtu ungemloga nani?

povu ruksa...
IMG_20180806_133636.jpg
 
Attachments

  • IMG_20180806_133636.jpg
    IMG_20180806_133636.jpg
    18.1 KB · Views: 20
Jike shupa. Huyo mwanaume kimbaombao anajitutumua, atapigwa hadi aombe poh!
Ukiona mwanamke kakurahisi, unakunja ngume naye anakunja, ujipange.
Njia za kuadabisha zipo nyingi, si lazima uitumie ya kupigana!
 
Hahahaaa. Hapana mwaya mie upande wa kutabiri niko nyuma shoga.

[emoji101][emoji101][emoji101][emoji101] ninong'oneze naskiza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wambie hao wengine wambe macho maana ninae taka kumtaja anampenzi hapa JF sasa naongopa kupopolewa shoga yangu upon vizuli kwenye michambo ili nijue nikilikoroga nasimamia kwako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahahaaa. Basi mwaya mwenzio muoga hatari sababu kwenye kuchambwa huwa natetemeka huyooo. Nisije kupa wakati mgumu maana vidole vyaeza shindwa andika.

😂😂😂😂
 
Hahahaaa. Basi mwaya mwenzio muoga hatari sababu kwenye kuchambwa huwa natetemeka huyooo. Nisije kupa wakati mgumu maana vidole vyaeza shindwa andika.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa ntafutie bac hata shoga yako mmoja tu wa hum JF anaye weza hizi shughuri
 
Back
Top Bottom