Jerry Muro atoa mwezi mmoja kwa wanaume

Jerry Muro atoa mwezi mmoja kwa wanaume

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,983
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jery Murro ametoa mwezi mmoja kwa wanaume waliotelekeza watoto wilayani humo kuhakikisha wanaanza kutafuta watoto wao na kuanza kuwahudumia.

Amesema kuwa baada ya muda alioutoa kuisha ataanza kuwakaribisha Wanawake wote wanaoishi wilayani humo waliotelekezewa watoto kupeleka Malalamiko yap ofisini kwake.

Aidha, ametoa agizo hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya utelekezji wa watoto wilayani humo.

Vile vile ameongeza kuwa lengo la zoezi hilo ni kupunguza idadi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu ,hatarishi na wanaojihusisha na uhalifu na wale wanaozurura na kuzagaa mitaani kwa kukosa malezi ya wazazi wawili.

“Nichukue fursa hii kuwataarifu akinamama na akinadada waliozalishwa na kutelekezewa watoto na kuachwa wabebe Mzigo wa kuwahudumia watoto wao, Natoa mwezi mmoja kwa kila mwanaume anayejua ana mtoto Arumeru, aanze kuhudumia, amesema DC Murro

Hata hivyo, Muro amesema licha ya serikali kutangaza elimu bure kwa wanafunzi, wapo baadhi ya wanafunzi ambao wanakwenda shule bila sare ya shule, madaftari au viatu huku moja ya sababu inayochangia hali hiyo ikiwa ni kutelekezwa na baba zako
 
Maamuzi ya MTU ni kipimo cha uwezo wake kifikra...

Ndo kwanza mwanzo huu.. Don't touch the dial
 
Mtu unapokopi andiko kwa mwenzio chini yake unaweka C&P, sasa yeye kakopi hili wazo lililofeli toka kwa Roll Model wake Bashite halafu hampi haki yake mwanzilishi ya c&p?
 
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jery Murro ametoa mwezi mmoja kwa wanaume waliotelekeza watoto wilayani humo kuhakikisha wanaanza kutafuta watoto wao na kuanza kuwahudumia.

Amesema kuwa baada ya muda alioutoa kuisha ataanza kuwakaribisha Wanawake wote wanaoishi wilayani humo waliotelekezewa watoto kupeleka Malalamiko yap ofisini kwake.

Aidha, ametoa agizo hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya utelekezji wa watoto wilayani humo.

Vile vile ameongeza kuwa lengo la zoezi hilo ni kupunguza idadi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu ,hatarishi na wanaojihusisha na uhalifu na wale wanaozurura na kuzagaa mitaani kwa kukosa malezi ya wazazi wawili.

“Nichukue fursa hii kuwataarifu akinamama na akinadada waliozalishwa na kutelekezewa watoto na kuachwa wabebe Mzigo wa kuwahudumia watoto wao, Natoa mwezi mmoja kwa kila mwanaume anayejua ana mtoto Arumeru, aanze kuhudumia, amesema DC Murro

Hata hivyo, Muro amesema licha ya serikali kutangaza elimu bure kwa wanafunzi, wapo baadhi ya wanafunzi ambao wanakwenda shule bila sare ya shule, madaftari au viatu huku moja ya sababu inayochangia hali hiyo ikiwa ni kutelekezwa na baba zako
Tatizo la jiwe kugawa vyeo kwa wavuta bangi
 
Kuna tofauti kubwa sana Kati ya wanaofanya kazi kwa juhudi kubwa na wanaotumia Juhudi kubwa kusikika!
 
duh Jerry Muro unatuangusha vijana wenzako umeanza vibaya...si uliona hata Bashite alifeli kwenye hii mambo?!.
 
Back
Top Bottom