Watu wengi wa jf ni wasiojulikana

Watu wengi wa jf ni wasiojulikana

ndege joni

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
689
Reaction score
1,126
Ukifatilia idadi kubwa ya members wa jf wametumia majina fake. Na wengine waliofungua awali kwa majina halisi waliamua kufungua ac mpya na fake ID.
Kuna sababu zilizofanyiwa utafiti usio rasmi kwa baadhi ya member za kufanya ivo, zikiwemo kuandika chochote wanachojisikia bila ya wanaomfahamu kumshangaa.
Wengine kufunguka habari za siasa ambazo ni vigumu kuziandika mitandao inayokufahamu n.k
Kila mtu mwingine ana sababu zake.... ruksa kuzisema
 
Hofu yako tu, kila mtu yupo humu kwa kazi zake hata wao wanafanya kazi zao acha kuwafuatilia.
 
We ndege joni tawa sababu ya kujificha kwanza. Kabla hujauliza wenzako
 
Back
Top Bottom