Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,163
- 37,801
Salamu!
Wengi tunatumia simu, kama sio ya mkononi basi ya mezani, je umewahi kujiuliza maswali haya?
Wengi tunatumia simu, kama sio ya mkononi basi ya mezani, je umewahi kujiuliza maswali haya?
- Kwa nini unaanza mazungumzo ya simu na neno HALLO?
- Ni nani mtu wa kwanza kusema HALLO ktk simu na kwa sababu gani alisema?
- Neno HALLO usipolisema, mazungumzo yataathirika na nini?
- Je, umewahi kujiuliza kiuhalisia ni nani hasa anastahiki kuanza kusema HALLO kati ya mpigaji na mpokeaji?