nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Polisi mwanza wametangaza kuanza utaratibu wa kupima kilevi madereva wanaotoka bar.Unajua hiyo itaongeza mapato kiasi gani?kudos sana,nashauri jeshi la polisi lianzishe kitengo cha marketing maana mapato wanayokusanya siyo ya kitoto,soon nao watajiunga na kina ttcl katika kuipa serikali gawio lake la mabilioni
Najua wapo watakaosema ohoo bar kubwa kama bundesliga, villa ,diamond zitakosa wateja wenye magari,hakuna kwanza ajira ndo itaongezeka,mapolisi na vi spy vya kuzunguka ndani kuangalia sura zenye pesa zinavyo spend mezani kisha kutoka nje na kuwatonya washikaji wenye mashine za kupigia faini,wakitoka tu ni wayaaaaaa fayaaaa wanao kitu cha 30 au 50,000 kwa kuzidisha kilevi,so walevi wataacha magari nyumbani,watapanda teksi,bajaji na bodaboda hivyo mzunguko wa hela utaongezeka na sisi tusio na magari TUTAPUMUA maana sote ndani ya bar tutakuwa tumekuja kwa bodaboda
Kuhusu TCRA hongereni sana kwa issue ya kila mtanzania kuwa na line moja,hakika hii ni rekodi ya dunia,we are on the right track,we are trend setters tupoi pazuri mnooo,nyie ni wajanja mnooooo,najua lazima hizo barua watu wakiandika mtawachaji angalau ki 5000 per line sasa akiomba line 4 atoe 20,000 mara watu millioni 10,waoooh aisee nyie ni ma genius
Gawio lenu kwa serikali lazima litakuwa ni mabilioni yaliyonona,hongereni sana tena foreigners waki apply muwa charge kwa dollar atleast 50 dollars per line
KAZI KWENUMASHIRIKA MENGINE ,mmelala tu anzisheni vitengo vya marketing,wapi magereza,uhamiaji,tanesco hey tene tanesco toeni tangazo kwamba mtu akiweka umeme hakuna kuweka solar hiyo ni dharau kwenu na inapunguza mapato yenu,brainstorm hapo muongeze mapato
mapato mapato mapaaatooo jamaaanii yeleuwiiiiiii.