Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,015
- 9,561
wadau nipo Sinza naskia mizinga inalia kama saba au nane mikubwa! aliyeko karibu atuambie
Wadada mnavyopenda pesaNikadhani mizinga ya hela
NoumaDuuh
HatareeHataa Magomeni nilisikiaaa
Kulikuwa mazishi ya Meja Jenerali mstaafu wa JWTZ Joseph Lesulie makaburi ya kinondoni, mizinga ilipigwa hapo makaburiniMimi pia niko makumbusho hapa nikajua mabomu aisee
Mwenye taarifa zaidi ni nini maana kidogo nidondoke kutoka ghorofani huku...
Ahsante kwa taarifa MkuuKulikuwa mazishi ya Meja Jenerali mstaafu wa JWTZ Joseph Lesulie makaburi ya kinondoni, mizinga ilipigwa hapo makaburini
HahahahahahaHicho ni kikosi cha mizinga kikiongozwa na nabii koko,Kala pina,Wanarekodi song jipyaaaa.
Trump katuma madude maana nyie mmetuma maneno ya kushutumu ubalozi kuhusu tamko laowadau nipo Sinza naskia mizinga inalia kama saba au nane mikubwa! aliyeko karibu atuambie
Mkuu Kwahiyo umepigwa mzinga kwenye simu?wadau nipo Sinza naskia mizinga inalia kama saba au nane mikubwa! aliyeko karibu atuambie
UMEUAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Nilidhani mzinga wa konyagi
Hata baba yenu mpendwa wa wanyonge alikuwepo japo yeye hakwenda makaburi, alisaini book home akaaga then akasepa kwenda kivukoniAhsante kwa taarifa Mkuu
wastage and misuse of texpeyers meneyKulikuwa mazishi ya Meja Jenerali mstaafu wa JWTZ Joseph Lesulie makaburi ya kinondoni, mizinga ilipigwa hapo makaburini