Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Naomba kuwasilisha kilio cha wananchi wa Mtaa wa PPF, Kata ya Kiseke ndani ya Manispaa ya Ilemela kuhusu tatizo kubwa la ukosefu wa maji ambalo limekuwa likiendelea kwa muda mrefu sasa. Kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Anonymous
Naweza kusema kuwa kwa ninavyoamini kutokana na mazingira, Askari wa Barabarani wanatengeneza foleni njia ya Kimara kwa Makusudi wanaanza kuwaambia watu wapite mwendokasi kipande cha Baruti then...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Anonymous
Kuna uzembe wa kukithiri katika utendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (Government Procurement Services Agency - GPSA) Mkoa wa Arusha kipindi hiki kigumu, unaletaje gari moja ya mafuta...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Kero yangu ni kuhusu vituo vya mafuta vya mitaani kuhusika katika uuzaji wa mafuta ya diesel kinyemela katika Kijiji cha Sukamahera, Wilaya ya Manyoni. Lori za mafuta zimekuwa na kawaida ya kuuza...
2 Reactions
11 Replies
264 Views
Wakuu, Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2, Tumsaidiaje??
12 Reactions
42 Replies
2K Views
Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la...
9 Reactions
93 Replies
840 Views
Je wenzangu mmeshawai kusikia mt akisifia airbags za kwenye gar ikimnusulu kuvunjika,kufa au kumpunguzia na majeraha? Je,wenzangu mmeshawai ona airbags zikitumika kwenye ajali tofauti tofauti?
2 Reactions
14 Replies
258 Views
Najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana Kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary Kwenye Michezo utakutana na...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Historia ya Wahaya Wahaya ni moja ya makabila makubwa na ya kale nchini Tanzania, wanaopatikana zaidi mkoa wa Kagera, hususan wilaya za Bukoba, Karagwe, Muleba na Missenyi. Pia hupatikana kusini...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary kwenye Michezo utakutana na...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Salama! Kuna taarifa niliiona kati ya Mei 1_5 mwaka huu watu wanaosadikika kuwa zaidi ya 300 Waliingia na coaster usiku na kuvamia eneo lililopo pwani na kuanza kubomoa nyumba za watu na...
2 Reactions
18 Replies
352 Views
Ujumbe umepokelewa toka kwa ndugu zetu katika imani. Kumbe pia kuna madaraja.... Huwa tukisema watu mnajipendekeza kwa watu hamtakiwi. Mnabisha. Bado hawajaja waarabu nao wakasema Mlevi wa...
2 Reactions
3 Replies
171 Views
#HABARI Kijana mmoja mfanyabiashara mkazi wa Mbugani Jijini Mwanza, anayejulikana kwa jina la Mzafaru Yunus (26), amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kikatili ndani ya Baa iliyopo Kona...
9 Reactions
128 Replies
2K Views
Baadhi ya wanaharakati huko kwenye mtandao wa X wanadai mwandishi wa habari za uchunguzi bwana Fortunatus Buyobe ni mtu wa system anatumika kuwauza. Mmoja ya wanaharakati hao ni Mshabaha ambaye...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu...
8 Reactions
66 Replies
1K Views
Anonymous
Nilikata tiketi online tarehe 08 Mei 2026 kwa ajili ya safari ya tarehe 09 Mei 2026 kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama. Kituo nilichopangiwa kupandia ni Mlandizi. Nilifika kituoni mapema saa...
3 Reactions
3 Replies
291 Views
Hali imeshakuwa mbaya kwa sababu ya vita inayoendelea. Haina ubishi kuwa bei zimepanda huko duniani. Ila mimi nimeona serikali ichukue hatua ya dharura kwa kuondoa VAT na Excise duty kwenye mafuta...
3 Reactions
9 Replies
228 Views
  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
Habari wanajamii Hivi ni tabia gani au mazoea ambayo umeshindwa kabisa kuacha? Mfano kwa upande wangu huwa siwezi kujisaidia haja kwenye Choo ambacho hakuna ndoo ya maji na lazima nimwage maji...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameagiza kusitishwa kwa mikataba ya muda ya watumishi wa Idara ya Ardhi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela huku akiahidi kuzungumza na Katibu Mkuu wa...
1 Reactions
2 Replies
198 Views
Back
Top Bottom