Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hili shirika lina kila kitu, Lina minara wilaya zote, mtandao unakamata maeneo karibia yote Tanzania Wana ofisi nchi nzima lakini wameshindwa kabisa kuliteka soko la Watanzania Wanahujumu taifa...
5 Reactions
23 Replies
552 Views
Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas...
1 Reactions
6 Replies
197 Views
Akizungumza katika kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV, Reagan Mpogolo amebainisha kuwa idadi kubwa ya vijana iliyopo sasa inapaswa kutafsiriwa kuwa ni fursa ya uzalishaji na si mzigo kwa...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
MTATIFIKOLO: NITAENDELEZA YOTE YALIYOACHWA NA HAYATI WILLIAM LUKUVI. Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani Ndg. Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
Kinachotakiwa sasa ni kumwaga mkojo nje sio kuzuia ndani kwasababu utaharibu figo Hata White wasipoingia ndani bado watafikishiwa taarifa zote huko waliko Wengi washazuia wamechoka wameamua kukimbia
1 Reactions
3 Replies
156 Views
Kwema Wakuu. Yamenikuta majanga wakuu mpaka kufikishana polisi then baadae mahakamani kwa Madai ya wizi(mashine za kampuni). Ilinipa changamoto sana katika hatua za mwanzo kutatua hii...
7 Reactions
45 Replies
574 Views
🔷 Serikali chini ya Samia yaendelea kusimamia mageuzi makubwa ya nishati. 🔷 Tanzania yajikita kuwa nguzo muhimu ya usambazaji wa umeme kikanda. 🔷 Uzalishaji mkubwa wa umeme kuimarisha viwanda na...
1 Reactions
0 Replies
64 Views
Anonymous
Mimi ni mwanakaya wa familia iliyotoa eneo la shamba kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda kupitia makubaliano na Serikali ya Halmashauri mwaka 2019. Kupitia makubaliano hayo...
0 Reactions
3 Replies
172 Views
Hapa google wame suggest maoni binafsi ya bwashehe, pia wame suggest kichwa cha habari cha mada niliyoiandika professa Fikiria kwamba ukiandika ujinga humu Jukwaani, je baadae mtoto akienda...
6 Reactions
9 Replies
246 Views
👉 China imeonekana kutumia mbinu ya kipekee ya kidiplomasia kwa kubadili jina la Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuwa "Marco Lu" ili kurahisisha safari yake ya kuingia nchini humo. 👉...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Mwanza. “Changamoto ya ngazi na vyoo, halafu kuna mawe, kwa hiyo ukienda vibaya unaweza kujikwaa. Katika ufaulu mtu asipofikisha wastani wa 64, anapata viboko, wakati huku mwanzo hajapata vitabu...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu. Mtungi mdogo nilikua nanunua 24,000/= Tsh sahivi napiga simu niletewe naambiwa 28,000/= Jamaa anasema imepanda. Oyaaah! Kama kweli nitapikia kuni aisee.
21 Reactions
54 Replies
936 Views
Wakazi wa Kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro, wameendelea kuishi katika mazingira yenye hatari kubwa za kiafya, kiusalama na kimazingira kufuatia kutofanyiwa usafi wa mara kwa mara maeneo...
0 Reactions
1 Replies
242 Views
Kufuatia majukumu ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Ibara ya 147 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sura ya 322 ya Sheria ya Jeshi la Polisi na Polisi Wasaidizi...
0 Reactions
2 Replies
203 Views
Habari wakuu! Kwa wale wazoefu wa maeneo ya Morogoro na Arusha, naomba kujua sehemu nzuri ya utalii, kufanya refreshment kama Taasisi, au family yenye ubora na huduma zote namaanisha kuanzia...
3 Reactions
16 Replies
431 Views
DeletedMember281674
Wazee wa ulabu, mjaribu hichi Kinywaji mtanishukuru baadae...wazee wa maji, Kinywaji kinawahusu hiki.
0 Reactions
2 Replies
164 Views
Nimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
12 Reactions
52 Replies
669 Views
Leo nilikua home kumuona Mzee wangu. Kwenye . Archive yake nikakutana na hili jarida limenikumbusha mbali. Nimewahi kua CCM chipukizi , tangu nilivo balehe tu nikapata akili nikawa mfuasi wa...
3 Reactions
29 Replies
291 Views
Back
Top Bottom