Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica E. Yegella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fursa ya ajira mpya takribani 259 katika...
Namuona huyu mtu akitajwa sana kwenye maandamano ya kumpinga trump, maandamano ya upinde na maandamano ya free palestine.
Mwenye moja mbili tatu zake anishtue
Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu.
Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa...
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Tabora, Tumaini Gwakisa amesema Wizara ya Ardhi kupitia Mkoa wa Tabora imejiwekea lengo la kukusanya shilingi bilioni nne kwa mwaka kupitia kodi ya ardhi...
Habari Wakuu..!!
Nimenunua kiwanja Halmashauri fulani ya Mji na nilishakamilisha michakato yote ya kuomba hati ya umiliki.
Hivyo wataalam wa ardhi naomba mnielekeze namna ya kuingia kwenye mifumo...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imetakiwa kuhakikisha inawalipa kwanza fidia wananchi kabla ya kuchukua maeneo yao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya...
Habari Tanzania !.
Hii ni chemsha bongo.
Naziomba Halmashauri zote hapa nchini wafanye maamuzi waonavyo kulingana na uwezo wao kuweka ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) ili kuimudu mfumuko wa...
1. Jaji Warioba amesema kwamba hakubaliani na idadi ya vifo 518. Mzee Warioba anaamini vifo vipo zaidi ya vilivyotajwa na Tume.
2. Anasema ni kwlei tume ni ya Rais lakin ripoti ingewekwa wazi ili...
Habari za wakati huu
Baada ya kuhitimu chuo 2025, niliweka matumaini mengi sana sababu Kuna watu hadi ndugu walinikazia nimalize ili wapate angalau namna ya kunisaidia, nilipambana nikamaliza...
Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka.
Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho...
Ukikaa muda bila kufanya mazoezi halafu siku ukirudi kukimbia ukaanza kuhisi kuwasha tumboni au kifuani mara nyingi ni mwili wako una-react na kitu kinaitwa histamine. Hii ni chemical ambayo mwili...
Bank ya CRDB ina makato ya hovyo na ya ajabu .
Yaani hii benki unaweza kukatwa kila siku elfu 10 bila kujua.
Wanakaa wanakata tu 1500, ukizubaa kidogo wanakata 3000 ukishangaa kidogo wanapita na...
Ni jambo la kusikitisha na linalokatisha tamaa kuona kuwa ofisi yetu imeamua kupunguza kwa kiwango kikubwa ubora wa huduma za bima ya afya kwa wafanyakazi, bila kuzingatia athari zake kwa afya na...
chai ya rangi ni mtu anaependa kutoa maua kwa mtu yeyote atakae muona anafaa kupewa maua kwenye angle fulani.
Ana upeo wa kuona na kutoa maua kwa member yeyote ingali mlewa maua akiyaona na...
Maisha ni muvi.
Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba.
Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa.
Kipindi...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kuandika historia katika huduma za uzazi pandikizi (IVF), huku madaktari wake wakieleza kuwa changamoto kubwa wanazokutana nazo ni ubora hafifu wa mbegu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.