Malalamiko kwa Airtel Tanzania: Huduma ya 5G au Tapeli.
KWA WATEJA WA AIRTEL 5G ROUTER – ACHENI KUPOTEZA PESA ZENU!
Nimekuwa nikitumia huduma ya Airtel 5G Router kwa miezi kadhaa sasa, nikilipia...
Kama wslishindwa kulinda wananchi hadi kilaza mmoja tu anaamua kufanya mauaji ya kutisha na wao wapo tu kama makuku ya kisasa hawapaswi kutuonesha ujinga ule wa kuvunja matofali.
Iwe mwanzo na...
Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa kimkakati wenye maslahi mapana ya kitaifa na kimataifa katika sekta ya tiba, elimu...
Anaandika BSAT Properties katika ukurasa wake wa X
Nilikuwa kwenye treni huko Tokyo. Tulisimama katikati ya vituo. Tangazo kwa Kijapani, kisha kwa Kiingereza: “Tunaomba radhi kwa kuchelewa...
Wakuu,
Naona hili suala la kupandisha na kushusha AC huko maofisini watu watatoana roho
Wengine wanataka baridi, wengine hawataki
Unakuta watu wazima kabisa wanagombania rimoti ya AC...
Viongozi wa kijiji cha Mlimba 'B' katika Halmashauri ya Mlimba wamekuwa kero kwa wananchi kwani wamekuwa wakitoza faini ya Tsh. 10,000/= kwa kila mwananchi asipohudhuria kwenye mkutano wa serikali...
Hakuna wanachokifanya huduma MBOVU Kwa wananchi, rushwa, wizi na utapeli vimetamalaki
Yapata miezi sita Sasa wananchi walotuma maombi ya passport na wanao omba passport wanaambiwa mfumo...
Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife.
Niliwahi kusikia pia watu wanasema...
Wilaya ya Mlee Mkoani Katavi tunadai fedha za Uchaguzi, Waziri Mkuu alipokuja viongozi wakatuziba mdomo msiongee, tutawalipa, hadi leo imekuwa danadana Mkurugenzi hataki kutulipa sisi mgambo na...
My Take
Safi sana Wazanzibari Kwa kuamua kujitegemea na kuonesha mfano.
Mzanzibari hajawahi kuwa na sifa ya ubianafsi Wala ufisadi kama ule upande wa watu wenye mdomo sana...
Mimi nishanunua chupi ya chuma wewe je
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania kutoa ufadhili wa dola milioni 375.5 (takriban Shilingi bilioni...
Investment ya mwisho Dangote kufanya Tanzania ilikua Kiwanda cha Cement Mtwara, $500 Million Investment.
Kabla ya 2015, mfuko wa cement ulikua unauzwa kati ya 18,000 mpaka 19,000.
2016 Dangote...
Kuna jamaa mmoja anapenda kuweka status WhatsApp zikionesha mnywa pombe anayejiita mkemia mkuu. Kwenye hizo clips mara zote nilipoangalia ni kwamba huyo jamaa (mkemia) anaonesha namna alivyo...
CV fupi ya Gerson Msigwa
Jina kamili: Gerson Msigwa
Kazi/Maalum: Mwanahabari, msemaji wa serikali, mtumishi wa umma
Wadhifa aliowahi kushika:
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais �
The Citizen...
Kwa ufupi,
Sijui mipango ya hii miji inapangwa vipi. Kipindi serikali inafanya juhudi kutanua Morogoro road moja ya sababu kuu ilikuwa ni kuzidiwa kwa wingi wa magari.
Hivi nani aliamua mabasi...
Hivi karibuni tumeona baadhi ya viongozi nanwatendaji wakikemea kuhusu mwendokasi wa madereva lakini ajali bado ni nyingi, tulijaribu kufanya research ndogo kwa nini hasa hii hali. Na dereva mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.