Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
12 Reactions
52 Replies
669 Views
Leo nilikua home kumuona Mzee wangu. Kwenye . Archive yake nikakutana na hili jarida limenikumbusha mbali. Nimewahi kua CCM chipukizi , tangu nilivo balehe tu nikapata akili nikawa mfuasi wa...
3 Reactions
29 Replies
291 Views
(These are rules Arab families rarely speak of openly) Pillar 1 – Silence Is Your First Asset •Tell no one: not your siblings, not your closest friends, not even your parents. •The moment wealth...
4 Reactions
4 Replies
208 Views
Kwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ? kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi...
8 Reactions
38 Replies
497 Views
Trump amewasili. Mei 13, kutokana na mwaliko wa rais Xi Jinping wa China, rais Trump aliwasili Beijing kwa ajili ya ziara ya siku tatu nchini China, ambayo ni ziara ya kwanza ya kiserikali nchini...
7 Reactions
6 Replies
327 Views
Nataka kujifunza lugha za kigeni. Kiingereza na Kichina. Kuna app ambayo inafundisha lugha za kigeni kwa waliozaliwa wakiongea kiswahili? Naona watu wengi wanajifunza lugha kupitia hizi app.
0 Reactions
4 Replies
139 Views
Kitu hatari zaidi kuhusu low self-esteem si kujiamini kidogo. Ni jinsi inavyoweza kutawala maisha yako kimya kimya bila hata wewe kugundua. Low self-esteem inaweza kumfanya mtu mzuri ajione...
6 Reactions
5 Replies
119 Views
Mzuka wana jamvi ? Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed . Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko...
2 Reactions
15 Replies
267 Views
Watu wengi wana ndoto kubwa. Wanataka utajiri. Wanataka maisha mazuri. Wanataka kuheshimiwa. Wanataka kubadilisha familia zao. Lakini tatizo sio kwamba hawana uwezo. Tatizo ni moja: HAWAJUI...
3 Reactions
6 Replies
241 Views
Wakati matukio ya miili kuokotwa yakizidi kuokotwa ndani ya mwaka huu, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka ufanyike uchunguzi wa kimahakama kubaini vyanzo vya baadhi ya vifo...
1 Reactions
0 Replies
196 Views
Wakazi wa eneo la Lupaso, Vikawe wilayani Kibaha mkoani Pwani wameingiwa na hofu baada ya watu wanaodaiwa kujitambulisha kuwa polisi kufanya operesheni ya usiku na kuwakamata baadhi ya wananchi...
1 Reactions
15 Replies
256 Views
Wa kishua mtuache kwanza, Wa Uswazi tuna jambo letu. Ndugu wangai, Nina jambo linanikaba koo mwenzenu, Hivi umewahi kukutana na kero kwenye hizi nyumba zetu za kupanga ambapo unakuta mpo...
10 Reactions
34 Replies
475 Views
Anonymous
Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi...
0 Reactions
6 Replies
164 Views
Madaktari bingwa wa upandikizaji figo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamefanikiwa kufanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne kwa kutumia teknolojia ya upasuaji wa njia ya tundu dogo...
2 Reactions
2 Replies
176 Views
TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YATAKIWA KUENDANA NA WAKATI KUHAKIKISHA DIRA 2050 INAFIKIWA. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Zainab Athuman Katimba (Mb.), ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria...
0 Reactions
4 Replies
134 Views
KATIKA MAISHA KUNA NJIA MBILI ZA KUJIFUNZA , NJIA NGUMU NA NJIA NYEPESI. Maisha yana mambo mengi sana, binadamu kila kukicha wanakutana na changamoto mbali mbali . ila pamoja na yote , kitu...
3 Reactions
7 Replies
486 Views
Kijana usiache kujifunza katika maisha yako. Kwa kijana ambaye ujui uanzie wapi umesoma lakini umekosa ajira. Kitu cha kwanza inabidi uamue kweli unahitaji kubadilisha maisha yako, ukiwa na nia...
4 Reactions
1 Replies
218 Views
Tazama harusi zetu sisi watu weusi hata bado tukiwa na maisha yetu ya chini alafu tazama harusi za watu waliondelea katika nchi tajiri. Tazama watu weusi wanapopata ustaa mapema namna anavyovaa...
7 Reactions
13 Replies
247 Views
Anonymous
Barabara ya Kiluvya Madukani mpaka Makurunge imeachwa bila matengenezo licha ya eneo hili kupata wakazi wengi miaka ya hivi karibuni. Shida kuu: 1. Miundombinu mibovu: Barabara ni ya udongo wa...
1 Reactions
1 Replies
118 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…