Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nipo njiani kuja Dar ningependa kujua duka lenye bidhaa og namaanisha shati, tshirt, suruali ,viatu pamoja na crocs og.
5 Reactions
17 Replies
323 Views
Askari mmoja wa idara ya wanyamapori ( TAWA) anaefahamika kwa jina la Enock Rugaimukamu Gration mkazi wa Pasiansi wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza amefariki dunia mara baada ya kujeruhiwa na chui...
1 Reactions
5 Replies
514 Views
Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga...
5 Reactions
67 Replies
667 Views
RWANDA 🇷🇼🇹🇿 TANZANIA President Samia Suluhu Hassan to attend the Nuclear Energy Innovation Summit for Africa scheduled from 18–21 May 2026 at the Kigali Convention Center.
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Nime ulizwa hili swali, kutokana na taaluma yangu, na huyu dada nikakimbia kuangalia ingredient, naona vitamin c, glutathione ila bado Nina mashaka sana nikaona nilete Kwa wataalamu husika watupe...
4 Reactions
76 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni imeeleza kuwa katika kipindi cha Januari hadi Machi 2026 imepokea malalamiko 78, ambapo kati ya hayo, 26 yalihusu rushwa...
1 Reactions
1 Replies
118 Views
Siku moja bila kujua utapiga picha ambayo itakuja kutumika kwenye msiba wako.
6 Reactions
18 Replies
319 Views
Hawa wanaoitwa maafisa usafirishaji kwakweli wana IQ ndogo siwasingizii ukiangalia mambo wanayofanya mpaka mtu unashangaa kabisa kama hivi huyu mtu ana akili kweli Kwa mfano huku dar hii...
6 Reactions
5 Replies
218 Views
Nasisitiza kwa Mara nyingine tena, sikubaliani na fundisho la kwenye Bible na Qur'aan kwamba Mungu alimuumba mwanadamu ili amuabudu. Sababu zangu kuu ni mbili: 1. Hakuna uthibitisho wala dalili...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Unakuja kukuta maskini wa kwanza ni wewe mwenyewe.
3 Reactions
15 Replies
157 Views
Hili swali huwa najiuliza sana. Kwanini shetani hamkugusa kabisa mke wa Ayubu? Ikumbukwe shetani aliua hadi watoto wote wa Ayubu lakini mke hakuguswa kabisa. Shetani huwa ana double standards...
4 Reactions
22 Replies
465 Views
TAIFA GESI IMEFIA WAPI? Bei ya gesi za majumbani (LPG) yapanda mara dufu Mtungi mdogo, 6kg: Kutoka TZS 19000/- hadi TZS 22000/- Mtungi wa kati, 15kg: Kutoka TZS 48000/- hadi TZS 54000/- Mtungi...
3 Reactions
41 Replies
11K Views
Zamani nilikuwa najua ukiajiriwa basi tayari unakuwa umetoboa kimaisha. Nikawa nikikutana na mtu ameajiriwa tena serikalini halafu anatembea kwa miguu basi namuona hayupo serious na maisha...
1 Reactions
7 Replies
198 Views
Watanzania ni mazuzu sana sijawahi kuona mji mzima hapa DSM vikao vya kuchangiana mambo ya msingi zaidi ya vikao vya harusi . Kwa nini watanzania mnapenda kuchangiana kwenye harusi lakini...
6 Reactions
9 Replies
186 Views
Anonymous
Wilaya ya Same kuna upotevu wa pikipiki, mfano mimi mwenyewe nimeibiwa pikipiki yangu lakini polisi wa Same hawatoi ushirikiano wowote, hili suala linaumiza sana, ni zaidi ya pikipiki 16 zimepotea...
1 Reactions
4 Replies
197 Views
Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa. Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi...
7 Reactions
34 Replies
904 Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kujipatia zaidi ya millioni 81 kwa njia ya udanganyifu kwa vijana zaidi ya 80 waliokusanywa kutoka mikoa mbalimbali hapa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Vijana kuweni makini si kila anakwambia kuna kazi unaenda, wengi ni matapeli sanaaa! ============ Watu saba wamenaswa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kuwatapeli zaidi ya vijana 80...
3 Reactions
5 Replies
213 Views
Mimi nashauri vijana wasio na ajira Tanzania, nashauri tuwasweke lupango wakapate ujuzi ili wakitoka wajiajil Ccm mbele kwa mbele!
5 Reactions
20 Replies
340 Views
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa Serikali kuipa uzito Siku ya Familia Duniani kwa kutambua mchango mkubwa...
2 Reactions
1 Replies
165 Views
Back
Top Bottom