Kumbe kuna matatizo ya kujitakia 😀Mie nachangia matatizo tu, tena yale ambayo siyo ya kujitakia.
Funga hilo wasap lako usiwe added kizembe kwenye hizo groupsHaya mambo ya mamichango achana nayo !!!
Hasa sherehe sijui harusi, birthday, sendoff n.k
Changia vitu muhimu tu kama msiba ama ugonjwa tena kwa watu wako wa karibu !!!!
Mtu mmesoma wote o_level ama primary, 10yrs+ huna namba yake na hamuwasiliani...from no where eti unakuwa added kwenye grp anaoa....uote mchango....
Sitoi hela yangu yaan...uzenge
Si ndio🤣🤣Kumbe kuna matatizo ya kujitakia 😀
Km ulichangiwa, na we changiaNimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi
Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
Exactly km mieMie nachangia matatizo tu, tena yale ambayo siyo ya kujitakia.
Sure. Wanatusumbua na michango baada ya miezi wanachomana visu🙆♂️🙆♂️Exactly km mie
Msiba, ugonjwa etc
Kuna jamaa alitusumbua na michango alikua anadai balaa,baada ya siku 30 tu wakatemana,aisee tulimsumbua alijuta na vile alikua mtani alitamani kuturudishia hela zetu!Sure. Wanatusumbua na michango baada ya miezi wanachomana visu🙆♂️🙆♂️
Huko ningeoa kila mwezi ili mnipe hela zanguDepends na mahusiano yenu.. ila sio lazima
Ila kazini kwetu kuna ki amount kimewekwa mtu akioa/ kuolewa ni lazima tukichange. So unaweza changa kile na mchango mkuu ikategemea na mahusiano yenu na muhusika. Au ukachanga iko na mchango mkuu ukatulia kimya..
Sio lazima mkuu....Nimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi
Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
😀😀Mie harusi yangu mtaingia bure ukumbini, lakini chakula na vinywaji mnanunua wenyewe!!!!
Aisee... mtu unashangaa upo added kwenye grp eti flan anaoa na anataka mchango.... mtu miaka kibao hamjawahi kuwasiliana... hiyo kwangu hapaana 😃 😀Funga hilo wasap lako usiwe added kizembe kwenye hizo groups