Serikali imetangaza kuvirudisha vituo vya TV za ndani kwenye vin'amuzi baada ya kuondolewa kwa muda mrefu kutokana na matatizo ya kimkataba
Vituo hivyo jumla yake ni 34 na vitaonekana kwenye...
Kuna ziara zinafanywa na maofisa wa cwt kwenye matawi yao yaani mashuleni. Agenda yao kuu ni kutafuta maoni ya wanachama katika kuiwekea kiraka kama siyo viraka katiba yao baada ya walimu kujiunga...
WAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani...
Wanabodi nimekuwa nafuatilia sana hili sakata la ving'amuzi kuzuiwa kirusha matangazo lakini binafsi naona kuna zaidi ya sheria nyuma yake.
Kwa mfano wanadai kuwa chaneli zote zilizosajilowa kwa...
Ukitokewa na mwenye mamlaka(yeyote yule ambaye unaamini ana mamlaka na uhai wako) na akakuambia anaweza kukwambia kimoja kati ya hivi;
1. Siku utakayopoteza uhai(siku ya kifo)
2. Namna au jinsi...
Tunaposema serikali imekopa au serikali haina hela, je serikali yenyewe haiwezi chapisha noti nyingi na ambazo ni halali ili iwe na pesa nyingi na iweze kuwa serikali tajiri?
Ni nani anawazuia...
Tigo nimeshidwa niwaweke kundi gani, walichonifanya nimewaelewa.
Jana usiku nimenunua vocha shs 2,000/-, nikajiunga kifurushi cha kupiga mitandao yote cha shs 1,000/-, nikaongea na simu moja kama...
Salamu Waungwana na Poleni na kazi. Ninaomba kusaidiwa namba za simu na email ya kampuni ya mchezo wa kubahatisha ya BIKO. Natanguliza Shukurani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kixhwa cha habari hapo juu kinavyosomeka,
Ikitokea Mwalimu mkuu au mkuu was while ana tgts d na Mwalimu was kawaida ana tgts h Kwa mfano,
Je? Mkuu wake anaweza kumtuma kazi au kumwajibisha...
Najua wengi mnafahamu kwamba hapa nchini kuna mamlaka nyingi tu.
Katika kufuatilia kwangu; ni kwamba mamlaka ndo zinazorotesha maendeleo kwenye sehemu / nyanja zinazohusu mamlaka hiyo.
Nianze na...
Kenya imezindua SGR ambayo imegharimu 3.5 bn US$ kama mkopo toka Uchina. Wapinzani wa mradi huo nchini Kenya na wana uchumi duniani/world bank wanadai hakuna biashara Kenya itafanya na reli hiyo...
Umuofia kwenu! Kwenu!
Wadau nimekuja hapa kuomba mwongozo juu ya taratibu za kupata kibali cha uvunaji miti ya asili shambani kwangu.
Nimenunua shamba wilaya ya Kilindi na niko mbioni...
Wadau wote wa JF Mnakakaribishwa kwenye Sikukuu za Vibanda maarufu kama MAKAMBI kwa mwaka 2018 katika mitaa ifutayo:
1. Mtaa wa Tegeta DAR ES SALAAM- Makambi yatafanyika katika Kanisa la SDA...
Ugonjwa wa UKIMWI unasalia kuwa janga duniani hasa kwa mataifa mbalimbali ya Afrika.
Takwimu kutoka Shirika la afya duniani WHO zinaonesha kuwa asilimia 70 ya watu Kusini mwa jangwa la sahara...
Habari zenu ndugu,
Mimi ni wakala wa hizi kampuni zetu za simu..hivyo najihusisha na hii biashara ya kutuma na kutoa pesa....
Kulingana na hali ya uchumi ilivyo kodi ni nyingi mnoo kwa mfano...
Tanzania tunapambana na adui ujinga.
Wapambanaji wetu wa mstari wa mbele ni walimu. Wapambanaji hawa ndo serikali haiwajali. Hivi kweli tunategemea mapambano hayo kufanikiwa? Wapambanaji wa Bukoba...
Wadau wa jf jana nilikua naelekea mbezi nilianzia safari yangu Mwenge saa kumi na nusu jioni, baada ya kuvuka tu taa za Ubungo nikakutana na jam ya ajabu gar haziendi mbele wala nyuma.Nililala...
wakuu!
nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu...