SASA imedhihirika kwamba jamaa huyu hawezi kushughulikia lolote; na hawezi kupambana na mikikimikiki. Anaweza tu kuzunguka huku na kule, akisukumwa na kuelekezwa kama kipofu.
Ndivyo...
Naona wanachelewa sana kutoa majina ya walio dahiliwa vyuo mbalimbali, sasa nilitaka kujua kama wana kazi na majukumu mengi sana kiasi cha kushindwa kukamilisha majukumu yao kwa wakati
Hapa BongoLand kila mtu huwa anajua kila kitu.
Ni nadra sana kusikia mtu anakwambia 'hiki sikijui'… Udalali wa taaluma za watu huko mtaani unakuja kwa kasi sana.
Mtu anakubali kupewa kazi...
Hapa BongoLand kila mtu huwa anajua kila kitu.
Ni nadra sana kusikia mtu anakwambia 'hiki sikijui'… Udalali wa taaluma za watu huko mtaani unakuja kwa kasi sana.
Mtu anakubali kupewa kazi...
Hapa BongoLand kila mtu huwa anajua kila kitu.
Ni nadra sana kusikia mtu anakwambia 'hiki sikijui'… Udalali wa taaluma za watu huko mtaani unakuja kwa kasi sana.
Mtu anakubali kupewa kazi...
Kwenye mitandao ya Kenya hasa Twitter kuna movement inaendelea yakutaka raisi Magufuli amwachie huru huyo jamaa kutoka kizuizini.Naomba kujua huyu jamaa ni nani na alifanya kosa gani mpaka kuwekwa...
Wamiliki wa kisimbuzi cha TING (Agape Television Network-ATN ) wameonesha ubabe wao baada ya kufungia local channels zote ikiwa ni pamoja na TBC1. Ikumbukwe kuwa TCRA ilitoa maelekezo kwa wamiliki...
Naviita vya kipuuzi kwa sababu namna vilivyoanza na vilivyomalizika ni ujinga mtupu
Unajiuliza kwa nini vilitokea kama shida ni kupimana nguvu
Je watu zaidi ya million 18 waliokufa wanajua...
Ibada ya kumuombea na kuuaga mwili wa Desderia Rungu Mbilinyi mzazi wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini, Mhe Joseph Mbilinyi (Sugu) imefanyika katika kanisa la...
Zipo nadharia nyingi zinazo elezea mzimu ni kitu gani, nadharia iliyo zoeleka ni ile inayosema mzimu ni roho ya mtu aliye kwisha kufa.
Mtu huyo anaweza kuwa amekufa zamani sana, ama muda mfupi...
Hii ndio hali halisi ya Tanzania kwa sasa , nepi za watoto zimeanza kutumika tena kwa kasi baada ya uwezo wa kiuchumi wa wananchi na mtu mmoja mmoja kuporomoka mithili ya container kwenye lori...
Kwa wale tunaopenda kutumia usafiri wa Uber, madereva wamekua wakituibia bila sisi kujua.
Mimi ni mtumiaji mzuri wa uber, bahati nzuri nina jamaa yangu hua ni dereva wa uber, nina muda sijafanya...
Salaam wanajamvi.
Juzi nilipokuwa kwenye bajaji nilipoteza kadi ya bank, ID ya kupigia kura, kitambulisho cha uraia na bima ya afya, tafadhalini sana kwa mwenye namna ya kunisaidia kupata access...
Waziri huyo amewalaumu mawakala kwa tabia ya kupandisha bei kuholela na kuwataka wenye viwanda kufuatilia bei ya bidhaa yao hadi kwa mnunuzi wa mwisho
Dar es salaam. Waziri wa Viwanda, Biashara...
Wastaafu wa NSSF hulipwa pensheni kila ifikapo tarehe 24 lakini hali kwa sasa si hivyo, ilianza taratibu malipo kuchelewa kwa siku moja lakini sasa imifikia wiki! Pamoja na kujaribu kujua tatizo...
Duniani kuna mambo mengi,moja ya jambo ambalo mimi naliona wanadamu tumelipa umuhimu mkubwa ni Mapenzi!
Sasa kwa leo nitaelezea nilichokiona kwa kipindi cha mwezi wa nane mwaka huu nikiwa pahala...
Habari wanaJF kuna mtu kastaafu tangu April 2018, alikuwa mtumishi wa umma anaehudumiwa na PSPF( social security wise). Mtu huyu hajalipwa hela zake tangu kustaafu na nina mdai hela nyingi...
Kwa wale ambao addicted na JF unatumia jf masaa kama manne nakuendelea ili kupunguza kiwango cha macho kuathilika iweke jf yako katika setting ya night mode muda wote inapunguza kuathili macho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.