hello JF
hili swala sio kwamba ni la kufikirika
ni kweli yanatokea
nilianzisha topic ya mfuko wa jamii
haikupita muda mrefu kukawa haijibiwi replies..
nikasema labda ni Becky sometime...
Wadau,
Serikali ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli ipo katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015. Naamini nyote mnajua kuwa mojawapo ya mikakati ya Serikali ni...
Madaktari ni watumiaji wazuri sana wa vilevi, hasa pombe kali. Wengi wao ni walevi kupindukia mpaka wengine hudiriki kwenda makazini wakiwa chakali.
Wao wanajua athari za pombe kwa undani zaidi...
Nimepata taarifa eti kuanzia sasa chaneli za FTA ili kuzipata tutumie antena za anolojia (mwiba wa samaka) tena ni kwa baadhi ya mikoa tu!
Chanzo: mwananchi app
====
=> Ukitaka kutazama channel...
Nipo na DSTV naangalia paredi ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbwabwe naona kama haivutii ,sijui naionaje ika wenyewe wanaishangilia kinoma.
Haswa mwendo wao wa haraka na bendi yao inavyopigwa..
Mimi...
Habari zenu wana jamvi?
Kama kichwa cha bandiko kinavyojieleza, ningependa kufahamu kama hasira inaweza kurithiwa kizazi hata kizazi(kijenetiki).
Pia upande wa kiimani limekaaje, je inaweza...
(Reuters) Russian billionaire Roman Abramovich has hired an investment bank to consider the sale of his English Premier League soccer team Chelsea, the Sunday Times newspaper reported.
A source...
Habarini,
Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CHADEMA amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.
Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya...
Habar wana jf, ni muda sasa sijaweka uzi humu mara nyingi hua napitia nyuz za watu ili kupata knowledge mbalimbal.
Kwa Leo nikua naomba kuuliza kutoka kwa wajuvi mbalimbali na wataalamu wa...
Maisha yetu chimbuko lake ni ardhini, tumetoka ardhini sisi, viumbe na mimea tunayokula na maji tunayokunywa, vyote vina asili ya ardhini.
Ardhini kuna madini, chumvichumvi, antibiotics...
Wimbi la ujambazi kwa watu wanaotoka kuchukua fedha bank linapaswa kufanyiwa uchunguzi maana si kawaida. Iweje mtu anatoka banki kudeposit fedha hakumbwi na hali hii isipokuwa huyo huyo akitoka...
Kutoka Mkoani Mtwara: Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mganga wa kienyeji ambaye anatumia uganga wake kubaka wanawake ambao wanaenda kwake kwa mahitaji ya msaada wa kuimarisha ndoa zao na biashara...
Nimekuwa nikitafakari sana kwanini Nchi wazungumza kiswahili Masikini?Najua kuna nchi nyingine zisizozungumza kiswahili ni Masikini, lakini nimegundua kuwa utamaduni wa wazungumza kiswahili ni...
MAELEZO KUHUSU BAADHI YA ALAMA KATIKA NOTI NA SARAFU
Kumekuwa na mijadala kuhusu alama zilizopo katika noti na sarafu za Tanzania, hususan alama ya nyoka inayoonekana kwenye noti ya shilingi 500...
Nakumbuka katika Kombe la Kuku mtaani kwetu, aliyeanzisha ligi alikuwa na timu yake ambayo alihakikisha inatinga fainali. Ilipotinga fainali akabadilisha kanuni za mpira zikiruhusu kununua...
Ivi CHADEMA KWANINI BADO MNASIMMISHA WAGOMBEA KWENYE HIZI CHAGUZI NDOGO WAKATI MWASEMA NI UBADHIRIFU WA KODI ZETU.. GOMENI KUSIMAMISHA WAGOMBEA TUOKOE PESA KAMA KOROGWE VIJIJINI
Sent using Jamii...
Leo baada ya kupata wali nazi sato wangu asante kwa ushauri wa Demiss nlimsinndikiza mgeni wangu nakurudi kijiweni kuwaeleza wana mchezo ulivyojiri.
Sasa bwana kijiweni pale nmekuta story mwanangu...
Waafrika wengi sana uwezu wetu wa kufikiri ni mdogo ukilinganisha na mataifa ya mabara mengine ulimwenguni na kama wapo wenye uwezo kufikiri wa juu basi ni wachache sana na hiyo imechangia sana...
Huu ni uzi maalum kwa vijana wa Mzumbe Sec tukumbushane mawili matatu na life lile venye tumeishi.
Swaga za DR Njawa kutukimbiza msituni kisa tumedoji paredi hilo pia msisahau
Da zawadi kantini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.