Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Massage unaboa, hiyo ni taarifa ya habari sio michezo. Unapaswa kuongea in summary tu, Ku sumup taarifa ya habari. Sio wote ni wanamichezo. Sasa baada ya habari, mnajadili kama spoti leo. Please...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
DJ wengi hawajui jinsi ya kupanga sauti za mziki ili zisiathiri masikio ya hadhira zao. Kelele za mziki makanisa huwa za kiwango cha juu sana. Kutokana na ukweli huu watu wengi huumia masikio...
1 Reactions
0 Replies
738 Views
Kama ilivyo kwa vitu vingine, viatu lazima viwe viwili ili viitwe pea, na watu wakizaliwa wawili wanaitwa mapacha, je! Wakizaliwa watatu wataitwaje? Wajuvi wa mambo tafadhali Sent using Jamii...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya mauaji ya wanawake Dar es Salaam ni vipi? Hadi sasa wameshauwa wanawake 7 kwa style hiyo hiyo! Tumeanza kuwa na serial killers jamani akina dada mjihadhari!
0 Reactions
76 Replies
9K Views
Mkazi wa Kijiji cha Ikongoro wilayani Uyui Said Ramadhan ambaye alimuua mkewe Mwajuma Hussein kwa kumpiga risasi kutokana na kile kilichodiwa wivu wa mapenzi na kisha kukimbia amekutwa amejiua kwa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimeangalia mambo mengi sana na kutafakari sana. Angalia baadhi ya maswali. 1. Tumeanza mchakato wa katiba kwa gharama kubwa sana. Leo anakuja mtu mmoja anakwambia hataki na kila kitu kinaishia...
2 Reactions
4 Replies
661 Views
Wakuu,ninaomba kujulishwa na watu waliokaribu na crdb bank kama mtandao umerudi,leo trh 28.8.2018 jumatatu nimetembea matawi ya mlimani city,ardhi,udsm,mabibo hostel kote hakuna mtandao hadi asbh...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu,kama kichwa cha habar kisemavyo,hiz taa ni za lawama kwakwel,na askar wamezishtukia kua znawai sana so ndo maeneo yao haya skuhiz ya kufaidi, Sasa kwa maisha haya jaman tutafika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumaini hamjambo. Leo wakati nasikiliza redio asubuhi nimemshangaa msemaji mmoja (jina sitaji) anasema Tshs. 2,000 ya Tanzania ni kubwa kuliko Kshs. 170 ya kenya. Hivi ni kweli au mi ndo...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jana wakati natoka Dar es Salaam nikielekea nyumbani (Zanzibar) nilikutana na jambo geni ambalo sikufurahishwa nalo kutoka kwa vijana ambao (wahusika) wanajukumu la ukaguzi wa tiketi wakati abiria...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Hayo yamemkuta Ndugu Slahi Jumamne Mkazi wa Moshi. Mirungi hiyo inathamani ya Tsh. 1,050,000. Source: Mwananchi ya Tarehe 26/08/2018. Is it fair?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
By Emmanuel D Tayari The movement of Tanzanians away from Tanzania to settle temporarily or permanently elsewhere has created sizable populations outside of our motherland. Most Tanzanians remain...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tetemeko limetokea maeneo ya mpanda mida hii lilikua kubwa sijajua kama kuna athali yoyote iliyotokea Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Khaa, hivi umewahi kuangalia kipindi cha mapishi TBC1? Sijui wanatoa wapi wale wapishi, au wanawafanyia makusudi? Maana wanapika vyakula vya ajabu, vyombo wanavyotumia vina masizi utadhani vyombo...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu, Nataka kujua hapa Tanzania kuna sober house ? na kama zipo ni za serikali ama binafsi na gharama zake zikoje ?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Poleni na kazi lakini pia hongereni kwa mlio ktk ajira maana naamini mnakula vinono tu. Nasikia ukiajiriwa kuna makato kutoka Serikalini kama vile nusu kwa nusu ya mshahara wako. Je, ni kweli...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huu ni mpambano wa teknolojia ya uchukuzi. Huku USA wakijivunia uvumbuzi/ubunifu wa bwana Elon Musk ambaye anakubalika sana kwa sasa duniani, Mtu huyu anafanya uvumbuzi mwingi wa kisayansi kama...
13 Reactions
64 Replies
7K Views
Mmoja wa mahujaji kutoka nchini Tanzania aliyekuwa kwenye Ibada ya Hijja nchini Saudia Arabia Ahmed Albeid, amefariki dunia baada ya kuugua ghafla. Albeid alikuwa akitekeleza moja kati ya nguzo...
3 Reactions
129 Replies
16K Views
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo imetangaza kuwa mtu, taasisi au kampuni yoyote inayotaka kurusha ndege zisizo na rubani drones katika anga la Tanzania ni lazima kwanza apate kibali...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau, Kama kichwa kinavohoji, nimekuwa nikijiuliza kinyesi cha mwanadamu kina nini? Mazingira ya vijijini ambapo watu hujisaidia maporini ni kawaida kukuta mbwa au nguruwe wakisaka vinyesi...
2 Reactions
58 Replies
10K Views
Back
Top Bottom