Wakuu salaam...niombe kujua sehemu wanapouza chakula special cha mbwa maeneo ya dar kinakuwa kama vipande vya biscuit,niliwahi kupita siku moja tu nikaona bango limeandikwa home doctor lakini...
BABA ZANGU WADOGOBaba Paul.E.Kisandu na Aloyce.E.Kisandu HAWAKUWA MAJAMBAZI BALI MICHEZO MICHAFU YA MAJAMBAZI KUPITIA JESHI LA POLISI.
Mimi Deogratius Nalimi Ismail Kisandu nimekuwa nikipata...
Nianze kwa kumshukru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema,wakubwa shikamoo,wadogo zangu habali za mda huu na wadogo zangu marahaba.moja kwa moja ningie kwenye mada.hii michezo ya kubahatisha naamin IPO...
Kwa asili, ushirikina ni kumshirikisha, kumfananisha au kumlinganisha Mwenyezi Mungu Mtukufu na viumbe vyake.
Ni neno linalomaanisha kuabudu asiye Mwenyezi Mungu, kuomba asiye Mwenyezi Mungu (kama...
MKURUGENZI MKAZI UNDP ALETA HERI SAME
[emoji172]Mkurugenzi mkazi wa UNDP Bi Natalie BOUCLY atembelea Wilaya ya Same kwa siku mbili.
Akagua miradi iliyofadhiliwa na UNDP kupitia shirika la SIPRO...
wakati wanaanzisha daftari la kudumu la wapiga kura sikuzani kwamba sikumoja nitashindwa kumpigia kura Rais just kwasababu nipo nje ya kituo nilicho jiandikishia, nilizani kuwa kura ya raisi...
"Wasomi bado ni watumwa kwa wanasiasa"
Hii, ni kauli lakini pia kwa mara ya kwanza nili isikia kama mstari wa Rapa, Joh Makini toka WEUSI, mwaka 2011, katika kibao chake cha "Karibu tena"...
Wadau wanasema,vitendo vya watu kupiga picha/video wakisaidia wengine kisha kuzipakia mitandaoni,ni kama kutumia umasikini wa watu kwa faida binafsi.
Sasa watu wanahoji kama unatumia pesa za...
Nikiwa mteja wa vifurushi vya DSTV na Star Times nimeshangazwa na hatua ya kuzifungia Local Channels katika kifurushi cha DSTV kwa kuwa hazioneshwi bure jambo ambalo hata Star Times wanafanya...
Kumekuwa na trend nzuri ya kuponda wanaume wa dar. Nafikiri wengi hawajui uhalisia wa wanaume wa dar
Sifa zao ni hizi
1. Wengi wasomi na wanajua kutunza afya zao ndio maana hawali hovyo kama wana...
Habari za mchana,
Nimekaa nikawaza nikaona bora tushee haya machache tunayoweza kusaidia taifa letu. Kwa hali ilivyo sasa ya utandawazi ktk ulimwengu wa sasa ni vigumu sana kuikwepa hii lugha ya...
Nilikiona hiki dukani, nilikumbuka vile vyoo vya ceramic tulivyotumia boarding schools. Indian toilet wengi hupenda kukiweka kama family toilet au communal toilet. Ukikijenga zingatia aging...
Habari ya weekend wakuu
Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza.
Ebu tuelimishane wakuu sikuiz ndege zinawekew vigingi ama?
Au ni ushamba wangu kwa maana hata airport sijawahi kufika.
Sent using...
Amani kwenu wakuu. Weekend inaendelea vyema sana.
Matukio mengi ya kihalifu mjambazi hupenda sana kutumia vigari vidogo vidogo vyenye namba private.
Gari ndogo mjini zinatumika sana kusoma...
Ukistajabu ya Nape nauye mda wa kuondoa bunge live utashangaa ya mwakyembe kuondoa local Chanel katika ving'amuzi kwa kisingizio wanainchi wanalalamika
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionKiungo wa kati wa Brazil Somália anajiunga na klabu ya Saudia Al-Shabab
Somália amejiunga na al-shababa lakini sivyo unavyodhania.
Wergiton do Rosario...
As a model pia mfatiliaji wa mambo ya fashion huyu mtangazaji anaiweza vyema hiyo fani yake
Huwa sichoki kumsikiliza haswa the way anavyozungumza
Haswa pale anaposema "mambo ya fashoooooniiii...
Jamani wanaume wote. Epukeni nguo za kubana kama jinsi na nguo za ndani. Hizi nguo hupunguza mzunguko wa damu kwenye maeneo nyeti.
Lakini pia kukaa kwenye sauna kwa muda mrefu unaweza kusababisha...
Rais mstaafu wa awamu ya nne kwenye picha akipanda Ndege ya Rais kuelekea Mjini Harare , Zimbabwe [emoji1269] kumuwakilisha Rais John pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa Rais mteule wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.