Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,192
- 18,844
Rais mstaafu wa awamu ya nne kwenye picha akipanda Ndege ya Rais kuelekea Mjini Harare , Zimbabwe [emoji1269] kumuwakilisha Rais John pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa Rais mteule wa Taifa hilo.
Ama kwa hakika Ndege zinampendezea huyu Bwana. [emoji23][emoji23]
Mungu aendelee kukulinda Mzee wetu.