Huyu mtangazaji wa kipindi cha Nirvana ananikosha sana

Ray model

JF-Expert Member
Jul 27, 2018
207
184
As a model pia mfatiliaji wa mambo ya fashion huyu mtangazaji anaiweza vyema hiyo fani yake

Huwa sichoki kumsikiliza haswa the way anavyozungumza

Haswa pale anaposema "mambo ya fashoooooniiii ati"

Jamaa anaitendea haki hiyo kazi yake na kipindi chake mnoo

Big up nyingi kwake sana mimi binafsi namkubali sana
 
Mwanaume akizidisha umodo anakua shoga , kuwa makini mkuu
 
As a model pia mfatiliaji wa mambo ya fashion huyu mtangazaji anaiweza vyema hiyo fani yake

Huwa sichoki kumsikiliza haswa the way anavyozungumza

Haswa pale anaposema "mambo ya fashoooooniiii ati"

Jamaa anaitendea haki hiyo kazi yake na kipindi chake mnoo

Big up nyingi kwake sana mimi binafsi namkubali sana
Kwajinsi ulivyo tiririka, nimejikuta nalazimika kuangalia Avatar yako....
Kwakweli nimepata mshtuko sana, ingawa naomba niseme tu kwamba... Una vinasaba vya kike....
 
Back
Top Bottom