Elimu haitoshi kulikomboa taifa letu

Elimu haitoshi kulikomboa taifa letu

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,903
Reaction score
3,140
"Wasomi bado ni watumwa kwa wanasiasa"
Hii, ni kauli lakini pia kwa mara ya kwanza nili isikia kama mstari wa Rapa, Joh Makini toka WEUSI, mwaka 2011, katika kibao chake cha "Karibu tena".
Sikuweza kuelewa kiurahisi kauli hii, lakini tafsiri ya mstari huu naiona leo hii, naweza kuona namna wasomi tena wa kiwango kikubwa cha elimu wakiuza taaluma zao kwa wanasiasa. Naweza kuona namna wanasiasa wenye kiwango kidogo cha elimu wanavyowafanya wasomi kuwa mtaji wa kuyatimiza matakwa ya kisiasa.
Walimu wanafanya kazi siku zote kujenga taifa la watu wanaojitegemea kifikra lakini, output ya jihada zao ni taifa la watu wanaotegemea kupambwa na wajinga waliopo katika ngazi kubwa sana za kisiasa, aidha ndani ya serikali na ndani ya vyama vya siasa,
Kuna baadhi ya wanasiasa wanalalamika na kujuta wanapoona baadhi ya wale walio wajengea academic potentials" nao wakiyageuka yale walio simamia kipindi wanapokuwa katika 'Ideological slaverY"
Hapa yahitajika nguvu nyingine, aidha katika mfumo wetu wa elimu au katika siasa, inaumiza kichwa kuona wale wanaotakiwa kulijenga taifa letu ndio wamenyanyuka na kuwa mbwa mwitu wanaojificha kwa jina la "Watetezi wa wanyonge"
Huenda wakaijua nafasi yao pindi watanzania watakapo amua

Tusibiri, Muda hakimu.
 
Tumepuuza elimu tutaisoma namba number
 
Tumepuuza elimu tutaisoma namba number
Huwa muda mwingine naona kama hata suala la viwanda tunapoteza muda tuu, zaidi ni kudanganyana, viwanda vinajengwa na watu, suala la kutowekeza katika elimu ya ufundi stadi na kilimo, ni kumtafuta mchawi mbinguni
 
Administrator ni kitu tofaut sana na Administrative ,,,,,,hata ukisoma VP
 
Sioni haja watoto kuanza shule ilihali bado wachanga
 
Back
Top Bottom