huu ni utapeli kwa wapigakura! bora uchaguzi uhairishwe hadi nipate haki yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huu ni utapeli kwa wapigakura! bora uchaguzi uhairishwe hadi nipate haki yangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by araway, Oct 18, 2010.

 1. araway

  araway JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  wakati wanaanzisha daftari la kudumu la wapiga kura sikuzani kwamba sikumoja nitashindwa kumpigia kura Rais just kwasababu nipo nje ya kituo nilicho jiandikishia, nilizani kuwa kura ya raisi naweza kupiga popote ilimradi niwe na utambulisho ambao kwangu mimi ni hiyo kadi ya mpigakura.
  najiuliza ni wapi tumeiga stahili hii ya daftari la kudumu la wapiga kura na sie tukashindwa kuliboresha ili kila raia aliyejiandikisha aweze kupiga kura japo ya rais wa nchi popote pale awapo Tanzania hii, ninini kinashindikana?? inakuwaje wenzetu waweze kupiga kura hata wakiwa nje ya mipaka ya nchi zao sie watanzania tushindwe kisa upo nje ya kata uliyojiandikishia?? huu ni upuuzi na ushenzi na madhara yake ndo haya kwanza wanavyuo kushindwa kutimiza haki yao ya kupiga kura kwasababu za kipuuzi kama hizi! najiuliza ni watu wangapi watashindwa kupiga kura sababu ya kutokuwa katika maeneo yao waliojiandikishia kwa sababu tofauti.

  wito wangu kwa wenye wazo la nini kifanyike ili kila raia aliejiandikisha aweze kupata haki yakupiga kura hata kwakuahirisha uchaguzi! :doh:
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hauko mwenyewe dada
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Watu wengi sana hawatapiga kura kwa sababu hiyo!
  Inatakiwa tuende na wakati, hivyo vitambulisho viwe vya kielectroniki-ili kuruhusu mtu kupiga kura sehemu yoyote na kura kuhesabiwa papo hapo na matokeo kuonekana kwenye display nje ya kituo cha kupigia kura. Mara zote watu wako kwenye mihangaiko, na safari zingine si za kuahirisha!:mmph:
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,209
  Likes Received: 414,657
  Trophy Points: 280
  Ukienda kwa wenye chongo vunja lako jicho.............
   
Loading...