waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,759
Habari ya weekend wakuu
Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza.
Ebu tuelimishane wakuu sikuiz ndege zinawekew vigingi ama?
Au ni ushamba wangu kwa maana hata airport sijawahi kufika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza.
Ebu tuelimishane wakuu sikuiz ndege zinawekew vigingi ama?
Au ni ushamba wangu kwa maana hata airport sijawahi kufika.
Sent using Jamii Forums mobile app