Mmiliki wa kituo cha mafuta lake oil kibaha natumia jukwaa hili kukutaarifu upuuzi na uwizi unaofanyika kwenye kituo chako

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,812
Mmiliki wa kituo cha mafuta lake oil kibaha natumia jukwaa hili kukutaarifu upuuzi na uwizi unaofanyika kwenye kituo chako.

Nimekuwa mteja mzuri wa kituo hiki kwa muda mrefu lakini nilikuwa sijagundua haya mpaka nilipoamua kufuatilia haya..

1. Pampu zako mbovu hasa mashine zilizo upande wa barabarani..
2. Watumishi /wako ama ni wezi au sio waaminifu nimekuwa naufuatilia huu mchezo kwa muda sasa.
Ukiweka mafuta kwenye gari kiwango ukipatacho ama kinachosoma kwenye mshale wa mafuta (gauge) ni tofauti sana..
Awali nilidhani gari yangu ina matatizo lakini nimejiridhisha kuwa gari iko sawa na nimeweka mafuta vituo viwili tofauti na chenu kwa kiwango kilekile cha mafuta ninunuacho kwenu.
Nimepata uhakika kuwa kituo chenu kuna matatizo.

Wito kwa serikali / wakala wa vipimo watembelee kituo hiki kwa uchunguzi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitegemea useme ulicheki ujazo kwa kutumia kidumu au galoni kama bodaboda
 
Naona heading yako imetoa hukumu ya moja kwa moja kua kuna WIZI unafanyika ila kwenye contents umetoa sababu zingine kabisa ikiwemo uwezekano wa pampu zao kua mbovu! huoni kua umehukumu mapema sana na umejipinga wewe mwenyewe kwa kutoa maelezo tofauti na heading yako?
 
Back
Top Bottom