mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 830
- 997
Kama kichwa kinavyojieleza.Ni mgeni kwenye hilo suala nimeleta jukwaani nipate abc kidogo kwani kuna mdogo wangu anafuatilia mirathi yake.Ni ya muda mrefu kidogo kwani msimamizi wao alikuwa sio mfuatiriaji na kwa sasa ilipofikia ni wanasema ipo kwenye foleni ya kuandikiwa cheque.Naomba kujua inachukua muda gani kwenye hiyo foleni mpaka kuandikiwa cheque na kudeposit hizo fedha.
Mwenye uhitaji ni mtoto na ni bado mwanafunzi.Msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye uhitaji ni mtoto na ni bado mwanafunzi.Msaada
Sent using Jamii Forums mobile app